jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wauze kwa wanao nunua mchele nje ya nchi na kuuleta ndaniUlkusudia wakulima wauze wapi,,?;
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauze kwa wanao nunua mchele nje ya nchi na kuuleta ndaniUlkusudia wakulima wauze wapi,,?;
Nimemquote mchumi pale ndio maana tuna argue kwa hoja sikutaka ku argue na nyie la saba maana hamna mnalojua ila mmejaa ujuaji tu. So kama elimu Yako ni ndogo nenda jukwaa la mahusiano hizi mada za kitaaluma pita kushoto.We muha wa ujiji hebu jikite kwenye hoja. Kwa nini muuze chakule nje holela alafu baadae muagize toka nje?
Mbona hamueleweki.... Si nyie ndio mnalialia kuwa mchele umepanda bei!! Hapo hapo hamtaki mchele wa nje ya nchi Ili bei zishuke sababu ya ushindani?? Kwani mnataka Nini hasa? Mkulima afaidike au walaji mfaidike?Ukiona hivyo wafanya biashara washatoa rushwa mamlaka flani wajilie hela ya masikini.
Hao wakulima wenyewe ukiwauliza kuhusu chakula wanalia kuhusu bei wakati wao ndo waliuza chote.Kuruhusu kuuza chakula nje kuna punguza idadi ya machinga na bodaboda kuzagaa mijini, sababu kilimo kitalipa
1000? Are u kidding? Katafute 500 Kama utapata wanaolima Kama Sumri! HAKUNA hiyo kituHivi hapa kuna wakulima 1000 wanaomiliki matreka na mashine kubwa za kulima na kuvuna.
Serikali hii ya ccm kama alama yao ya jembe itosheleze kilimo
Waliuza kwa walanguzi mapeema baada ya kuvuna! Na walanguzi hao wanakindwa na wanasiasa Tena wenye dhamana kwenye hiyo field!Hao wakulima wenyewe ukiwauliza kuhusu chakula wanalia kuhusu bei wakati wao ndo waliuza chote.
Na sasa wananunua kwa bei kubwa na pesa hawana.
Hapa tunatumia staili ya Waluguru. Unapeleka kuuza mihogo mjini inayonukia kishamba shamba, halafu unanunua mihogo mjini inayonukia kimjini mjini unaipeleka kijijini! Ahahahahah!!!Kwa nini mliruhusu kiende nje? Au mlitaka kipungue ili mfanye biashara zenu?View attachment 2519635
Wakinunuliwa basi hao sio wanasiasa ni matapeli na chama kinachouza nacho ni Cha kujari tumbo tuWaliuza kwa walanguzi mapeema baada ya kuvuna! Na walanguzi hao wanakindwa na wanasiasa Tena wenye dhamana kwenye hiyo field!
Jiulize ile nguvu ya kuitetea Bei kupata wanasiasa wanaipata wapi! Msimu huu sio wa mavuno na msimu wa kupanda na palizi, wanakuambia wakulima wanfaidika! Unajiuliza mtu anategemea kilimo Tena kilimo Cha kuangalia jua na kutumia mikono je Ana ghala la kuhifadhi mpaka wakati huu?
Jibu Ni hapana kwakua mkulima anategemea kilimo kujikimu mazao yanapokomaa anauza na Tena anawauzia walanguzi ili apate mahitaji yake lakini fedha kwa ajili ya kuandaa mashamba na pembejeo kwa ajili ya msimu unaofuata!
Wakulima wanapoingia mashambani walanguzi wanaanza kuuza! Na kwakua wanasiasa walishahalalisha kupanda kwa Bei Basi walanguzi na wafanyabiashara wanauza kwa Bei waitakayo huku wakitoa limited stock ili kudhibiti supply!
Kwakua serikali imeona aibu kuwa price zinapaa kwa Kasi huku wafanyabiashara wakisafirisha kwenda nje ikalamba matapishi yake kwamba tutatoa chakula kwenye hifadhi za Taifa, wakati walishasema watanunua kutoka kwa wananchi kwa Bei juu! Kelele zimezidi wamejitokeza Tena kuwa wanaruhusu importation of grains! Haya yanafanyika within a month!
Hii Ni ajabu na nusu!
Mwanaisasa siku zote anatumia mdomo kujaza tumbo lake!Wakinunuliwa basi hao sio wanasiasa ni matapeli na chama kinachouza nacho ni Cha kujari tumbo tu
Kazi ipo wajameni.Tuleteeni kitumbo
Kwa Bei nzuri yaani nakumbuka kilomoja tulikuwa tunakula watu 18 na hutukupata Madhara yoyote so naomba mtuletee uo mchele.
Ukiupata nishtue na mimi mzeeTuleteeni kitumbo
Kwa Bei nzuri yaani nakumbuka kilomoja tulikuwa tunakula watu 18 na hutukupata Madhara yoyote so naomba mtuletee huo mchele.
Sawa nasikia mwezi wa tatu mwezi ujao utakuwa umefikaUkiupata nishtue na mimi mzee
Huu upo sindo wanapikia vitumbuaWasisahau na ule wa V.I.P kwa pilau na biriyani
Cha nje huwa bei chini sababu wanalima na mashine, mashine upunguza gharama za kilimoHao wakulima wenyewe ukiwauliza kuhusu chakula wanalia kuhusu bei wakati wao ndo waliuza chote.
Na sasa wananunua kwa bei kubwa na pesa hawana.