Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi wanafika 1000.Nenda Kahama, Mbeya, Iringa
Maneno Mawili tu MODERN TECHNOLOGYCha nje huwa bei chini sababu wanalima na mashine, mashine upunguza gharama za kilimo
Hizo mashine wanazo hata akina masanja lakini bado bei ni kubwa.Cha nje huwa bei chini sababu wanalima na mashine, mashine upunguza gharama za kilimo
Kwahiyo bugger tu na chips???Kakwambia nani Wana hamu ya wali maharage!?
Wewe, Bashe na Mh. Sana hamjui biashara ya mazao hasa mchele.Wakulima Wana vibunda,wananunua power tiller na kupanua shughuli zao,na mwezi wa tatu mavuno yanaanza
Kuna wapumbavu wengi wenye mtizamo Kama wako,na wameng'ang'ana kweli na Hilo,hayo maghala yako wapi ya hao walanguzi!!?..Mimi nakwambia hivyo ni mkulima,na Nina wenzangu wengi ambao tunauza Sasa hivi mcheleWewe, Bashe na Mh. Sana hamjui biashara ya mazao hasa mchele.
Mkulima aliuza mpunga zamani sana wakati wa mavuno kwa bei ndogo mno.
Mpunga ulitunzwa kwenye maghala na wafanyabiashara wanauza bei mara 6 na zaidi ya waliyo nunulia.
Sasa mkulima kaishiwa ile pesa na chakula hana anataseka kuliko asiyelima sababu haimudu gharama ya chakula na huduma zingine.
Upumbavu ni kudhani unajua kitu kumbe haujui, nenda Ifakara Morogoro, Ikwiriri Rufiji Pwani, na Kyela Mbeya ulizia kwenye mashine za kukoboa mpunga (mchele).Kuna wapumbavu wengi wenye mtizamo Kama wako,na wameng'ang'ana kweli na Hilo,hayo maghala yako wapi ya hao walanguzi!!?..Mimi nakwambia hivyo ni mkulima,na Nina wenzangu wengi ambao tunauza Sasa hivi mchele
Sisi huku tabora,tunaweka mpunga mashineni,tukitoa kukoboa tunalipa buku mbili kila gunia za uhifadhi,hiyo kudai wakulima wote hatuna mpunga ni uwongo,huko kote ulikotaja hujafanya sensa kuona Kama wakulima Wana mpunga au laa,mkulima mdogo mkuranga hapo alipata gunia 15 msimu uliopita,na anazo mpaka Leo anakula na familia yake,we unasema wakulima hawana mpunga!!..mazao ni ya mkulima,waacheni wafanye wanachotaka na mazao yaoUpumbavu ni kudhani unajua kitu kumbe haujui, nenda Ifakara Morogoro, Ikwiriri Rufiji Pwani, na Kyela Mbeya ulizia kwenye mashine za kukoboa mpunga (mchele).
Mimi nimenunua pumba za mpunga na mahindi siku 5 zilizopita toka kwenye hizo ghala.
Waulize wafanyabishara wa mchele wakubwa, au waulize wakulima wakubwa wa mpunga watakuambia ukweli juu ya hili jambo. Mimi ni mkulima siyo mkubwa sana na silimi mpunga.
Tena kwa taarifa yako kuhifadhi mpunga kwenye hizo ghala ni bure ili mradi siku ukitaka kukoboa ukoboe kwenye mashine ya mwenye ghala. Bure hata ukiwa na tani 200 utatunza miezi utakayo wewe.
Wewe siyo mkulima wala mfanyabiashara wa vyakula hasa mchele maana ungelijua hili jambo.
Kati yangu nawewe nani mpumbavu juu ya suala hili?
Mimi si muumini wa kumzuia mkulima asiuze mazao yake nje nashauri itafutwe namna ambayo chakula hakitauzwa nje ya nchi kupita kiasi kulinda Food Security ya nchi. Mapinduzi hutokea sababu ya mkate/chakula tu.Sisi huku tabora,tunaweka mpunga mashineni,tukitoa kukoboa tunalipa buku mbili kila gunia za uhifadhi,hiyo kudai wakulima wote hatuna mpunga ni uwongo,huko kote ulikotaja hujafanya sensa kuona Kama wakulima Wana mpunga au laa,mkulima mdogo mkuranga hapo alipata gunia 15 msimu uliopita,na anazo mpaka Leo anakula na familia yake,we unasema wakulima hawana mpunga!!..mazao ni ya mkulima,waacheni wafanye wanachotaka na mazao yao
Unadai upo sekta ya chakula lakini hujui kwamba serikali hununua nafaka na kuzihifadhi na kwamba imeongeza zaidi ya bilioni 100 mwaka huu kwa ajili ya Hilo,acha kelele mzee,Kuna watu makini serikaliniMimi si muumini wa kumzuia mkulima asiuze mazao yake nje nashauri itafutwe namna ambayo chakula hakitauzwa nje ya nchi kupita kiasi kulinda Food Security ya nchi. Mapinduzi hutokea sababu ya mkate/chakula tu.
Historia imetufunza ktk hili.
Ikilazimu serikali inunue chakula cha kutosha kwa bei ya soko na siyo kuwawekea wakulima 'price cap' ya mazao yao.
Itafutwe permanent solution na iwe sera rasmi iliyowekewa sheria na kanuni za kudumu nzuri. Kazi ya viongozi ni kutafuta suluhisho la matatizo yetu kama hayo ya food security na masoko mazuri ya uhakika ya mazao yetu wakulima.
Tukianza kuwa wabinafsi na kujiangalia kwa maslahi ya watu au makundi ya watu wachache kama viongozi au wakulima wawili watatu tutakwama. Usijiangalie wewe na wakulima wenzio wasio zidi 2000 Tanzania nzima ambao hamuwezi kulisha hata 30% ya watanzania na vigunia vyenu vichache vya mpunga. Fikiria picha kubwa ya mamilioni ya wananchi.
Waziri na viongozi wenzie wasitafute kura kwa porojo za kufungua masoko kisha wapiga kura wengi wanataabika na njaa.
Je akiba hiyo ya chakula ya serikali imeweza ku-offset mapungufu ya chakula kwa wananchi wengi wa kawaida na kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula masoko ya ndani?Unadai upo sekta ya chakula lakini hujui kwamba serikali hununua nafaka na kuzihifadhi na kwamba imeongeza zaidi ya bilioni 100 mwaka huu kwa ajili ya Hilo,acha kelele mzee,Kuna watu makini serikalini