Ilishasemwa Rais hakosei, wanatembelea humo.Nyongeza tu...hii haikupaswa kuwa ufafanuzi bali ni masahihisho. Hapo bado hawajakubali kama wamekosea. Inafafanuwa pale ambapo jambo ulilolisema halijaeleweka na unasahihisha pale uliposema jambo ukakosea.
100% I AGREE!huu ni uthibitisho ndani ya Ikulu yetu tuna watu ambao hawatoshi!.
Kuna yule jamaa yenu jana, nadhani Mr BonT alisema, wakati akidhani anarekebisha kosa fulani hapa JF, kwamba ^hajakosea^ bali ^ame-overlook!^Exactly!! Badala yake wanasema eti UFAFANUZI [emoji13][emoji13]ilitakiwa iwe KUOMBA RADHI kwa taarifa isiyokuwa sahihi.
Swali fikichi, fikishi, na fikirishi: ^Amekoseshwa mangapi?^Ivi si alikuwa anasoma kilicho andikwa au alikuwa anatoa kichwani?
Then if that is the case aliyendaa iyo speech nae kamuingiza chaka
Kumbuka kwamba ^tu^ ina ^u^ moja, na wala si mbili kama ulivyoandika!Hii ilitakiwa iandikwe "Bilioni Sita milioni mia mbili na hamsini na tatu tuu.
Nashauri apandishwe cheo cha juu ^car-bee-sir^ kwa vile ametuonesha jengo letu msingi wake ukoje!Nashauri aliyehusika na utoaji wa taarifa potofu ya kumpunguzia heshima Rais lazima awajibishwe na asiwe tena karibu na Ikulu; msipomuadabisha nakuhakikishieni msijekushangaa makosa haya yakijirudia kwani hayo makosa ni ya kimkakati!!! Hutumiwa wanapotaka kudesroy credibility ya kiongozi!!!
Na huwa wanakariri pia! So much dedication! So much love for one's country!Sasa mkuu Pasco kwani Rais huwa hapitiii hotuba yake several times kabla ya kuisoma kwa umma? Niliwahi kuona clip ya Barack Obama akifanya rehearsal ya hotuba yake kwa taifa na wasaidizi wake na niliona wakiondoa hiki na kuongeza hiki...
Walifanya makusudi kwa sababu wanajua Hangaya hotuba zake zinasikilizwa zaidi na wananchi wa vijijini hawana uwezo wa kungamua kuongopewa!Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Nyie watu wa system mnaelewa athari za jambo hili kwa credibility ya kiongozi!!Nashauri apandishwe cheo cha juu ^car-bee-sir^ kwa vile ametuonesha jengo letu msingi wake ukoje!
Mchumi my foot😷Nasikia Raisi kasomea Uchumi, ina maana ni Mchumi, kazi tunayo duh !
Hii serikali imezoea kudanganya, wakishitukiwa wanaanza kukunja mkia kama mbwa aliyebambwa akiiba mayai.
Hata hizi million 6253 ni namba tu, wakiminywa zaidi sio ajabu wakabadili tena.
Haiingii akilini eti akosee aliyeandika, aliyeikagua asione, raisi mwenyewe wakati anaipitia kabla hajaisoma naye asione😳
Halafu eti waliofanya kosa kubwa hivyo hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Mkuu hebu tulia kwanza😂😂Hii serikali imezoea kudanganya, wakishitukiwa wanaanza kukunja mkia kama mbwa aliyebambwa akiiba mayai.
Hata hizi million 6253 ni namba tu, wakiminywa zaidi sio ajabu wakabadili tena.
Haiingii akilini eti akosee aliyeandika, aliyeikagua asione, raisi mwenyewe wakati anaipitia kabla hajaisoma naye asione😳
Halafu eti waliofanya kosa kubwa hivyo hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
^watu wa system^? Digestive ama integumentary system unazungumzia?Nyie watu wa system mnaelewa athari za jambo hili kwa credibility ya kiongozi!!
Sasa siye ndo tuwe na kazi ya kuelewa anachotaka kusema? Kwanini asieleweke tangu mwanzo? Hiyo kazi yake haimpi luxury kufanya makosa ya namna hiyo, kwanini tunalazimishana kuamini ujingaSamia ni binadamu kama sisi. Hayo ni makosa madogo madogo nani kwa mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuelewa alikuwa anamaanisha nini!
Paschal No.Mkuu igogondwa , sio tuu rais anapitia, bali kuna watu maalum, paid by taxpayers money for doing that. Hizo ni figures and data hivyo uki feed wrong data , rais Samia sio mtu wa data na calculus kama JPM, what you feed in is what comes out.
P
^watu wa system^? Digestive ama integumentary system unazungumzia?
Kumbe wamekubali huwa wanakosea? Basi ni jambo jema. Huyo Zitto toka akose ubunge akili yake ilihama kabisa.
Hangaya mchumi kiwango cha nungwiIkulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende