Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

Zito kabwe ulikuwa hujaona kiss Hilo la hotuba ya Raisi,Bali wewe huwa unayaona ya magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tu mwendazake siyo? Tumekusoma endelea
 
Kosa la Samia hukuona bwana zito kabwe Bali macho yako Yanaona makosa ya magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tuuuuuuuuuuu tumekusoma
 
Zito kabwe hukuiona hiyo mbona umepiga kimya,kumbe kazi yako Ni kutuhabarisha ya magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tu,halafu ya mama unayatizama kwa makengeza!!!!! Tumeshakujua
 
Usipende kusikia tafuta wasifu usome mwenyewe uondoe ujinga

Nilicheki wasifu wake mitandaoni, kwamba akipata degree kutoka Salford University.

Wasasema amepata degree Manchester University, Nimesoma pale, nina nafasi ya kuongoea wahadhiri, kuna Vitu vya Magumashi.
 
Aibu tupu!!yaani hata wakati anasoma hakushituka!!anasoma kama kasuku tu!!
Inaelekea huyu mama hajuhi uhalisia wa mambo Mengi serikalini,ni mpaka aambiwe.Hata akiambiwa serikali ina wizara 100,atasoma tu.
Pili ni udhaifu mkubwa hotuba ya Raisi kuwa na makosa,kama hakuna umakini kwenye hotuba ya Raisi,kutakuwa na umakini kwenye vitu vikubwa kama usalama wa nchi kwenye chakula!!Elimu,afya?
Sasa hv kila kitu kimepanda bei,mama anaambiwa ni sababu ya ukame!na yeye anasema kasuku!!
Kuna watu wanatengeneza makusudi mgao wa umeme bandia,uhaba wa sukari,mafuta ya kula.
 
Dola bilioni 6.253,Ni Sawa na dola milioni 6253!
 
Huenda Kuna ukweli kweni kwenye hizi duku duku zako aise hakuna umakini kabisa anaimbishwa Kama kasuku tu!!!!! Mtu was hivyo Ni rahisi kudanganywa na wahuni
 
Kwa kawaida mtu ambae anayehusika na kuandaa ripoti
Ambayo mkuu wa nchi anapita nayo ni nani??
 
Duuh!Kumbe rais Ni msomaji tu,huwa hajui kilichoandikwa hata kujiongeza hawez,ina maana wasaidiz zake wakikosea yeye anapuyanga tu.Lakin huwa wanasoma kwa mbwembwe unafikir wanavijua kilichoandikwa.
 
Salama wandugu
ishara iliyomtokea Mama ni mbaya Sana katika hotuba yake kwamba hata yeye ameshindwa kutofautisha 6,000 na 6.000 hii dalili ya uzembe,Watanzania hatutaki Kiongozi mzembe mzembe kwa sababu hata documents anazosaini huwenda zinamakosa Kama hayo ,wote tunajua katika mbinu zinazotumika kwsnye ufisadi kwenye ofisi za umma kwenye tarakimu huenda ameshasaini utoaji wa fedha mfano bilion 600 akaandikiwa 6000,000,000.00
 
JPM mlikua mnamlaumu kutokutaka kuandikiwa Hotuba aliyajua haya
 
Kaziiendelee Tanzania na Rais Samia, Wale wa "Petty Politics " tafute agenda mpya
Unadhani wakosoaji wasinge kosoa haya masahihisho yangefanyika? I think ni vizuri pia kuwapongeza wakosoaji cause wametengeneza what we call, a walk up call; siku nyingine watu watakua makini kuandaa hotuba
 
Kwa nini wasiseme tu bilioni sita nukta mbili,tano, tatu (bilioni 6.253 dola za Marekani) na siyo hiyo elfu sita mia mbili hamsini na tatu milioni ambayo ilimchanganya mama.
#hesabu ni ugonjwa wa Taifa
 
Mbona bado kuna usanii au hamuoni
Dola milion elfu sita?
How! hii inasound vipi
Kwanini isiwe bilion6

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inatakiwa iwe dola za Marekani Bilioni sita, milioni mia mbili hamsini na tatu ( (US$ 6,253,0000).
Waandaa hotuba na wanaozipitia wana shida kubwa ya hesabu za darasa la sita hadi form one-hawawezi kusoma wala kuandika namba.
"Milioni elfu sita" ndio inatakiwa kuwa "bilioni sita" kwa usahihi kama ulivyotaja hapo juu.
👏
 
Ndiyo kwanza wamezidi kutukologa,bora wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,Jafari Haniu anaajindwa kusema bilioni Mia sita ,anasema bilioni elfu sita?

Kweli?
 
Ndiyo kwanza wamezidi kutukologa,bora wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,Jafari Haniu anaajindwa kusema bilioni Mia sita ,anasema bilioni elfu sita?

Kweli?
Patakuwa pana wakenya labda pale maana wakenya ndio huita laki moja-elfu mia moja, laki sita huita elfu mia tatu.
 
Rais kilaza. Rais anayeijua vyema Nchi yake, the moment angesoma neno “bilioni”, alarm bell ingelia kichwani na bila shaka angecorrect palepale

JK pamoja na udhaifu wake asingefanya kosa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…