Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi na wahariri waongeze umakiniNa sio mara ya kwanza haya makosa kwenye hotuba za mama, hata ile hotuba ya siku ya Uhuru alikosea kosea sana.
Hawapaswi kuishia kutoa ufafanuzi Bali kujua kwa nini makosa yapo kila hotuba
Usipende kusikia tafuta wasifu usome mwenyewe uondoe ujinga
Ikulu ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu akiba ya fedha za kigeni ambapo imesema Tanzania ina akiba ya fedha za kigeni Dola za Marekani Milioni 6,253 na sio Dola za Marekani Bilioni 6,253 "akiba hii inatosheleza kununua bidhaa na huduma kwa muda wa miezi 7
View attachment 2066266
Aibu tupu!!yaani hata wakati anasoma hakushituka!!anasoma kama kasuku tu!!Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Dola bilioni 6.253,Ni Sawa na dola milioni 6253!Ikulu ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu akiba ya fedha za kigeni ambapo imesema Tanzania ina akiba ya fedha za kigeni Dola za Marekani Milioni 6,253 na sio Dola za Marekani Bilioni 6,253 "akiba hii inatosheleza kununua bidhaa na huduma kwa muda wa miezi 7
View attachment 2066266
Hapo wangeandika dola bilioni 6.253! Kwisha kazi,badala ya ,wangeweka . Mbele ya sita,Kubalini hamjui mnachofanya! Yaani mwandishi na mwandikiwa wote hawaeleweki!
Huenda Kuna ukweli kweni kwenye hizi duku duku zako aise hakuna umakini kabisa anaimbishwa Kama kasuku tu!!!!! Mtu was hivyo Ni rahisi kudanganywa na wahuniAibu tupu!!yaani hata wakati anasoma hakushituka!!anasoma kama kasuku tu!!
Inaelekea huyu mama hajuhi uhalisia wa mambo Mengi serikalini,ni mpaka aambiwe.Hata akiambiwa serikali ina wizara 100,atasoma tu.
Pili ni udhaifu mkubwa hotuba ya Raisi kuwa na makosa,kama hakuna umakini kwenye hotuba ya Raisi,kutakuwa na umakini kwenye vitu vikubwa kama usalama wa nchi kwenye chakula!!Elimu,afya?
Sasa hv kila kitu kimepanda bei,mama anaambiwa ni sababu ya ukame!na yeye anasema kasuku!!
Kuna watu wanatengeneza makusudi mgao wa umeme bandia,uhaba wa sukari,mafuta ya kula.
Duuh!Kumbe rais Ni msomaji tu,huwa hajui kilichoandikwa hata kujiongeza hawez,ina maana wasaidiz zake wakikosea yeye anapuyanga tu.Lakin huwa wanasoma kwa mbwembwe unafikir wanavijua kilichoandikwa.Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna makosa.
Ufafanuzi ni uungwana
View attachment 2066244
Pia soma: Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende
Unadhani wakosoaji wasinge kosoa haya masahihisho yangefanyika? I think ni vizuri pia kuwapongeza wakosoaji cause wametengeneza what we call, a walk up call; siku nyingine watu watakua makini kuandaa hotubaKaziiendelee Tanzania na Rais Samia, Wale wa "Petty Politics " tafute agenda mpya
Inatakiwa iwe dola za Marekani Bilioni sita, milioni mia mbili hamsini na tatu ( (US$ 6,253,0000).Mbona bado kuna usanii au hamuoni
Dola milion elfu sita?
How! hii inasound vipi
Kwanini isiwe bilion6
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ndiyo kwanza wamezidi kutukologa,bora wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,Jafari Haniu anaajindwa kusema bilioni Mia sita ,anasema bilioni elfu sita?Inatakiwa iwe dola za Marekani Bilioni sita, milioni mia mbili hamsini na tatu ( (US$ 6,253,0000).
Waandaa hotuba na wanaozipitia wana shida kubwa ya hesabu za darasa la sita hadi form one-hawawezi kusoma wala kuandika namba.
"Milioni elfu sita" ndio inatakiwa kuwa "bilioni sita" kwa usahihi kama ulivyotaja hapo juu.
👏
Patakuwa pana wakenya labda pale maana wakenya ndio huita laki moja-elfu mia moja, laki sita huita elfu mia tatu.Ndiyo kwanza wamezidi kutukologa,bora wangekaa kimya maana tayali tulikuwa tumesha sahau,Jafari Haniu anaajindwa kusema bilioni Mia sita ,anasema bilioni elfu sita?
Kweli?