Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

Mbona kama hao wote vifunga vilishakwisha
 
Jamani channel zilizoongezwa mbona kwangu sizioni?Kuna masharti kabla ya kuzipata
 

Moshi mweupe unaonekana unatokea katika jumba la utawala la Tanzania ikiashiria uongozi mpya na mambo mapya !
Kweli awamu ya jiwe ilikuwa nyingine. Awamu hii musafishe makosa yote ya awamu ya tano, tuanze upya.

Je ishara hii ya kuyatoa 'vifungoni' ni mwanzo wa jambo kubwa jingine kufanywa na awamu hii ya sita ktk miezi michache ijayo

Toka maktaba: Meza ya Muuza maGazeti ilisheheni makala kibao za Tanzania Daima gazeti pendwa

 
Nape has to touch it lightly. Some of the CCM die-hard are not happy. They may make the move short living.
Nakubaliana na wewe kwani wapo walioanza kutoa vitisho kwa baadi ya vyombo mapema mno katika ofisi zao mupya🤔.
 
Mh Lissu ni hazina ya taifa letu, Mungu ambariki saan
 
Mama yetu kaenda France na Beligiam lazima iwe hivo ili kuweka image nzuri kimataifa,pamoja na hivo tunashukuru Sana kwa Sababu ni hatua nzuri.
 
Wanaukumbi

"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa Mwanahalisi,Mawio,Mseto,Tanzania Daima ambayo yalikuwa yamefungiwa, tuanze kwa kufungua ukurasa mpya Ili tumalize kabisa jambo hili,kifungo kimetosha "Waziri Nape akizungumza na wahariri wa vyombo vya Habari
 
TITLE YA KWANZA YA TANZANIA DAIMA

1. Shaidi wa serikali kesi ya Mbowe akimbia kizimbani

2. Mashaidi wa kesi ya kubumba watoka nduki mahakamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hii amri ya Rais ambayo huwa sheria isi ishie kwenye magazeti tu.

Iende na mahabusu namahakamani. Maana aliagiza pia kesi za mchongo zifutwe, walioko mahabusu kwa kusingiziwa waachiwe, na zile kesi ambazo ina onekana serikali haita shindazifutwe.

Hawa wenye viburi wafuate mfano wa Nape.

Igp, Dpp, Dci, Jaji mkuu, nanyi jitafakarini.
 
Basi Mwanahalisi itaanza na madudu ya Makonda, Tanzania daima itakuwa inaweka yaliyojiri mahakani kesi ya mbowe na kifuatilia ugonjwa wa afande Swila

Kwa kuchapisha kesi ya mbowe watatupata wengi kwani hapo hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…