Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

Tatizo sheria zetu, magazeti yaneanza kufungiwa kitambo...! Wasipobadilisha sheria ni suala la mda tu watafungiwa tena.
 
Si yameshafunguliwa subiri usije piga yowe humu baadaye tena kuwa yafungiwe au kuhoji kwa kwa nini yamefungiwa .Mark my words please
 
Lakini ni vema pia kumkumbusha ya kwamba Mbowe sío gaidi
 
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo
 
Hizi mada za Magufuli Magufuli mumuache Apumzike basi hatupo naye
Hawezi jibu chochote
kingine Hatamkimchukia haita wasaidia kitu Hayupo

We kila uzi unataka watu wasiongee kuhusu Magufuli? Kwani kuna baya gani watu kuhoji? Acha wahoji hakuna madhara
 
MODS, REKEBISHENI JINA LA GAZETI LISOMEKE TANZANIA DAIMA BADALA YA DANZANIA DAIMA.
Msisubiri kuambiwa.
 

Muulize Nape na Mwakyembe na Tanzania Daima ilifungiwa kwa kuwasema Mkapa na Kikwete
 
Mjomba Magu alikuwa hana simile labda inatokana na historia yake huko nyuma.
Lakini magazeti yalifungiwa kwa sheria tulizotunga bungeni na watu wale wale walioyafungua leo.Sheria ziangaliwe upya kwanza.
Pammoja na kuyafungulia,biashara ya kuuza magezeti imedolola sana.Kubenea kasema wanahitaji serikali iwawezeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…