Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kama ndege tu, wenye uwezo wakapande saa moja na nusu wapo mwanza, na wengine wasioweza wakapande basi watembee masaa 16. nashauri nauli ziwe hivyo ili wapate pesa ijiendeshe, isihitaji kupigwa fund na bajeti ye serikali Kuu. reli ijiendeshe kama sherika. na wateja watapata wengi sana tu. hasa kwa DAR - DOM. hadi watu watakuwa wanapanga foleni.Kwa garama hizo si naenda kupanda Abood kwa 12,000/- alafu mwanangu nambeba?.
Ni kweli watu wanasahau kuwa hiyo treni inatumia umeme. UMEME ni gharamaHata mwendokasi wakati inaanza tulisema hatupandi sababu ya nauli maana tulishazoea nauli ya daladala, lakini sasa ivi tuntunagombania
Kwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.Treni si kwa àjili ya kila mtu, ni kama ilivyo ndege
Mi naona kuliko tuwape waarabu si Bora tuwape hata ChineseKwa akili za wale matapeli wanaojiita manabii, "nazoom naona wafanyabiashara wa mabasi, nawaonw wameweka msisitizo nauli ya treni iwe juu kuliko mabasi"
"... kisha mbele kidogo naona mzigo kwa serikali kuendesha mradi huu utakuwa mkubwa na garama zitakuwa kubwa, hivyo naona CAG akitoa taarifa za hasara kupitia SGR, ndipo roho mchafu anayetawala sasa anasema mradi ubinafsishwe haraka sana kwa mwerarbeu"
Kwa ghala hiyo mpaka Dodoma, je mpaka Mwanza itakuaje? Abilia ataamua mwenyeweMkurugenzi mkuu wa TRC ndg Kadogosa alikuwa akiongea na kamati ya bunge walipotembelea mradi huo na kusema "Kuhusu mchakato wa nauli, sisi TRC tumemaliza sehemu yetu ambapo tumewasilisha kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) kila kinachohitajika."
View attachment 2948956
Alisema wanaelewa kuwa LATRA tayari imeshafanya vikao na wadau wa Dar es Salaam na Dodoma.
"Tunaamini kwamba kabla ya kuanza kazi Julai mwaka huu, tutakuwa tayari tumetangaza nauli," Kadogosa aliongeza.
LATRA imepewa jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa nchi kavu, haswa usafiri wa barabara, reli, na waya. Ina mamlaka ya kukagua na kuweka viwango na malipo.
Kando na hayo, pia inawaidhinisha madereva wa treni na wafanyakazi wa treni. Mwaka 2022 LATRA iliwaalika wadau wa sekta ya reli na wananchi kwenye mkutano wa kujadili mapendekezo ya nauli kwa kuzingatia nauli za abiria kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam-Morogoro-Dodoma-Bahi kwa ombi la TRC.
Nauli zilizopendekezwa na TRC kutoka Dar es Salaam-Morogoro zilikuwa kwa darasa la tatu 24,794/- kwa mtu mzima, na 12,397/- kwa watoto kati ya umri wa miaka 4-12.
Kwa Daraja la Uchumi, njia hiyo hiyo ilikuwa 29,752/- kwa mtu mzima na 14,876/- kwa watoto. Kwa darasa la tatu kutoka Dar es Salaam-Dodoma 59,494/- kwa mtu mzima na 29,747/- kwa watoto kati ya umri wa miaka 4-12. Darasa la Uchumi 71,392/- kwa mtu mzima na 35,696/- kwa watoto.
Kwa njia ya Dar es Salaam-Pugu, daraja la tatu 4,694/- kwa mtu mzima na 2,347/- kwa watoto kati ya umri wa miaka 4-12. Walipendekeza 5,632/- kwa kila mtu mzima na 2,816/- kwa watoto ambao wangependelea kutumia darasa la uchumi kwa njia sawa.
Mwenyekiti wa Bodi ya TRC, Ally Karavina, alieleza kuwa ana imani na majaribio yanayoendelea na alisema treni hizo zitaanza kufanya kazi Julai mosi kama ilivyoagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Sio kweli Treni za umeme long safari bei yake kubwa kuliko mabasi ya long safari UlayaKwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.
====================
Ila kwenye global transport treni ndiyo usafiri wa garama ya kawaida kabisa ambao unahudumia watu wa aina zote pasipo ubaguzi wa nauli.
Waongeaji wengi hawasafiri. Wasafiri watasafiri, bei kubwa maana yake unapunguza watu wadokozi na wachafuAboud itumie masaa mawili hadi Morogoro unaota kiwango cha chini ikijitahidi masaa sita
Tutafute hela tuache makasiriko, ukiona ghali panda AboodHawa wajinga wamefanya makusudi ili wampe mwekezaji mwisho wa siku maana ukweli wanaujua kuwa hakuna mtanzania mpumbavu atapanda Kwa hiyo bei
Kwahiyo mameneja wa TRC ni vilaza ila hao mameneja wa Latra ndio kidogo wanajielewa? Au sijaelewaWabongo hatujui kufuatilia vitu ila tunajua kucomment tu,
Hizo nauli za TRC zitafyekwa almost half na Latra, hata wenye mabus wanapelekaga nauli za kiwaki sana Latra ila huwa zinakatwa almost half,
So kuweni na subra tu
Ni sahihi ndio maana hata hoteli za kitalii soda ambayo uswahilini inauzwa elfu moja hoteli ya kitalii soda hiyo hiyo unakuta inauzwa elfu 12 kupunguza vibaka na wachafu wachafu kuingia hoteli za kitaliiWaongeaji wengi hawasafiri. Wasafiri watasafiri, bei kubwa maana yake unapunguza watu wadokozi na wachafu
Walipa kodi Tanzania ni wachache, hawafiki milioni 5 na hao milioni 5 hawlipi kwa usahihiHaya ndo yanasababisha hata viongozi wanaopewa dhamana kula pesa na kuacha wananchi wanahangaika kwa vitu vidogo ambavyo serikali ilitakiwa iwatimizie kama hizi social service, inamaana huoni kuna haja ya mwananchi kuounguziwa gharama za usafiri? Unaona ni haki kabisa
Watu hawajalazimishwa kupanda, wana uchaguzi. Mbona treni za sasa bei nafuu kuliko basi ila wanapanda basiNi sahihi ndio maana hata hoteli za kitalii soda ambayo uswahilini inauzwa elfu moja hoteli ya kitalii soda hiyo hiyo unakuta inauzwa elfu 12 kupunguza vibaka na wachafu wachafu kuingia hoteli za kitalii
Sababu wasafiri ni wengi.Kwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.
====================
Ila kwenye global transport treni ndiyo usafiri wa garama ya kawaida kabisa ambao unahudumia watu wa aina zote pasipo ubaguzi wa nauli.
Ongezea kazi yetu kubwa ni kuchekana kwny Usimba na Uyanga...Tutafute kampuni kutoka Dubai ije isimamie huu mradi. Mbali na uzembe, ufisadi na ngono, sisi hatuwezi kitu ndugu zangu. Sad!
Ukiacha kushabikia mitimu mibovu huku kwingine Una point.Acheni malalamiko kwahyo mnataka iwe kama daladala? Umeme mtalipia kwny kodi zenu.
Kuhusu timu yangu iache tuu mzee..halafu ubovu haijaishinda Yanga ya misimu 4 nyuma hapo..Ukiacha kushabikia mitimu mibovu huku kwingine Una point.
Uingereza pia mabasi ni cheap kuliko train Kwa trip za mikoani.
Mfano London kwenda Liverpool ni kama Dar Moro lakini nauli ya train iko juu ya mabasi au wenyewe wanaita couch iko chini.