SGR Mchakato wa Nauli ndiyo huu hapa, mtoto hadi Moro kulipa Tshs 12,400

Hiii nchiii hiii vitu kama ndege zile, hiz tren na mabas yale ya udart wapewe wawekezaji mpaka tanesco sasa unakuta hao mawazir na viongoz wa TRC ndio wenye mabasi hapo unategemea nn
 
Kwa garama hizo si naenda kupanda Abood kwa 12,000/- alafu mwanangu nambeba?.
ni kama ndege tu, wenye uwezo wakapande saa moja na nusu wapo mwanza, na wengine wasioweza wakapande basi watembee masaa 16. nashauri nauli ziwe hivyo ili wapate pesa ijiendeshe, isihitaji kupigwa fund na bajeti ye serikali Kuu. reli ijiendeshe kama sherika. na wateja watapata wengi sana tu. hasa kwa DAR - DOM. hadi watu watakuwa wanapanga foleni.
 
Hata mwendokasi wakati inaanza tulisema hatupandi sababu ya nauli maana tulishazoea nauli ya daladala, lakini sasa ivi tuntunagombania
Ni kweli watu wanasahau kuwa hiyo treni inatumia umeme. UMEME ni gharama
Wapenda kusafiri kwa raha watapanda.Hiyo train kwa jinsi ilivyo ni kuwa imekuja kuwapa alternative ya usafiri watu wenye vipato ambao kwa kweli kupanda basi safari ndefu na yule tuviti tulivyobana hata kunyoosha miguu huwezi wengi watahamia kwenye SGR na hiyo bei ni fare

Wakiweka bei chini sana vibaka watajazana humo na kuanza kuchafua viti na kuchana
Bei pia inalenga kupata watu wastaarabu sababu njia moja ya kupunguza watu wasio wastaarabu kupanda ni kutumia nauli.Vinginevyo hata hivyo vyoo kwenye treni vitaziba kwa utumiaji hovyo wa wasiostaarabika.

Hiyo nauli naiona iko vizuri tu
 
Treni si kwa àjili ya kila mtu, ni kama ilivyo ndege
Kwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.
====================
Ila kwenye global transport treni ndiyo usafiri wa garama ya kawaida kabisa ambao unahudumia watu wa aina zote pasipo ubaguzi wa nauli.
 
Mi naona kuliko tuwape waarabu si Bora tuwape hata Chinese
 
Kwa ghala hiyo mpaka Dodoma, je mpaka Mwanza itakuaje? Abilia ataamua mwenyewe
 
Kwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.
====================
Ila kwenye global transport treni ndiyo usafiri wa garama ya kawaida kabisa ambao unahudumia watu wa aina zote pasipo ubaguzi wa nauli.
Sio kweli Treni za umeme long safari bei yake kubwa kuliko mabasi ya long safari Ulaya
 
Wabongo hatujui kufuatilia vitu ila tunajua kucomment tu,
Hizo nauli za TRC zitafyekwa almost half na Latra, hata wenye mabus wanapelekaga nauli za kiwaki sana Latra ila huwa zinakatwa almost half,
So kuweni na subra tu
Kwahiyo mameneja wa TRC ni vilaza ila hao mameneja wa Latra ndio kidogo wanajielewa? Au sijaelewa
 
Waongeaji wengi hawasafiri. Wasafiri watasafiri, bei kubwa maana yake unapunguza watu wadokozi na wachafu
Ni sahihi ndio maana hata hoteli za kitalii soda ambayo uswahilini inauzwa elfu moja hoteli ya kitalii soda hiyo hiyo unakuta inauzwa elfu 12 kupunguza vibaka na wachafu wachafu kuingia hoteli za kitalii
 
Walipa kodi Tanzania ni wachache, hawafiki milioni 5 na hao milioni 5 hawlipi kwa usahihi
 
Ni sahihi ndio maana hata hoteli za kitalii soda ambayo uswahilini inauzwa elfu moja hoteli ya kitalii soda hiyo hiyo unakuta inauzwa elfu 12 kupunguza vibaka na wachafu wachafu kuingia hoteli za kitalii
Watu hawajalazimishwa kupanda, wana uchaguzi. Mbona treni za sasa bei nafuu kuliko basi ila wanapanda basi
 
Kwa Tanzania nadhani ndiyo unaongelea.
====================
Ila kwenye global transport treni ndiyo usafiri wa garama ya kawaida kabisa ambao unahudumia watu wa aina zote pasipo ubaguzi wa nauli.
Sababu wasafiri ni wengi.

Tamzania masikini ni wengi
 
Acheni malalamiko kwahyo mnataka iwe kama daladala? Umeme mtalipia kwny kodi zenu.
Ukiacha kushabikia mitimu mibovu huku kwingine Una point.

Uingereza pia mabasi ni cheap kuliko train Kwa trip za mikoani.

Mfano London kwenda Liverpool ni kama Dar Moro lakini nauli ya train iko juu ya mabasi au wenyewe wanaita couch iko chini.
 
Kuhusu timu yangu iache tuu mzee..halafu ubovu haijaishinda Yanga ya misimu 4 nyuma hapo..

Hilo lingine asante daktari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…