TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Kama Niko Mbezi nikipanda Basi, bado nitawahi kuliko kufunga Safari mpaka Stesheni, Kisha nipande Treni..Kama hauna haraka
Kwenye suala la Muda, Treni ni rafiki kwa yule aliye jirani na Kituo chake.