Pre GE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Za Ndani Kabisa Hizo - Hamkani Hali Si Shwari Ndani Ya Chama Dola Kongwe CCM, Wanakanyagana In JPM Voice !
 
Cha kwanza sio kosa kutaka kiti Cha bosi kama inawezekana kupatikana Kwa amani. Ukiona bosi anaweweseka jua hakimtoshi. Kama njia ni haramu kuna Sheria.
 
huyo ana akili tu ya biashara, hanaga uwezo wa kutoa hoja.
 
Matajiri nao kumbe wambea jamaa anapita na upepo
 
Hatari sn
Kumbe haya mambo ni serious
 
Ujumbe umfikie Makamba kwani umetumwa kwake moja kwa moja.

Uchekibobu mahali pake ni nje kabisa ya ofisi nyeti ya serikali.
 
ukiwa tajiri unajiamini..Amesema ukweli ambao wengi hawawezi kuthubutu kunena..

Vijana walioaminiwa kupewa nafasi kutumikia wananchi wapo busy kujijenga kisiasa na kuiba (Limbikiza mali ) kwa ajili ya Urais..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…