Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Hatuwezi kumlaumu mkuu.Akiwa Jimboni kwake Gairo Mkoani Morogoro, Mbunge Mheshimiwa Shabibi amewatonya wananchi juu ya mawaziri watumbuliwa.
Akiongea kwa mtindo au style ya kumsifu waziri wa Maji Juma Aweso alisema " Mheshimiwa Aweso wewe ni mchapa kazi Usiye na makuu wa kutamani makubwa, mwenzio mmoja aliyetenguliwa alishaandaa baraza lake la mawaziri , Ma RC, Ma DC, Ma DED na alibakiza nafasi chache za ubalozi" Alisema Waziri Aweso sio mtu wa kujikweza.
Hìi ina maana mmoja wa watumbuliwa alishajiandaa kuwa Rais tutake tusitake.
Kungekuwa na ka video ingependeza sana.Akiwa Jimboni kwake Gairo Mkoani Morogoro, Mbunge Mheshimiwa Shabibi amewatonya wananchi juu ya mawaziri watumbuliwa.
Akiongea kwa mtindo au style ya kumsifu waziri wa Maji Juma Aweso alisema " Mheshimiwa Aweso wewe ni mchapa kazi Usiye na makuu wa kutamani makubwa, mwenzio mmoja aliyetenguliwa alishaandaa baraza lake la mawaziri , Ma RC, Ma DC, Ma DED na alibakiza nafasi chache za ubalozi" Alisema Waziri Aweso sio mtu wa kujikweza.
Hìi ina maana mmoja wa watumbuliwa alishajiandaa kuwa Rais tutake tusitake.
Hawa ni hatari. Walikuwa tayari kufanya uhaini.Ingependeza asaidie mamlaka kuwabaini wote waliopangwa kwenye uongozi wa huyo mtumbuliwa na wote waliopangwa wachunguzwe kama walikuwa wanafahamu ama laa kama walikuwa wanafahamu basi hatua kali za kinidhamu na kimaadili zichukuliwe dhidi yao
Nashindwa kuiweka humu. Ipo tiktok.Kungekuwa na ka video ingependeza sana.
Unamaanisha February Marope au Nupe Nuuye?Akiongea kwa mtindo au style ya kumsifu waziri wa Maji Juma Aweso alisema " Mheshimiwa Aweso wewe ni mchapa kazi Usiye na makuu wa kutamani makubwa, mwenzio mmoja aliyetenguliwa alishaandaa baraza lake la mawaziri , Ma RC, Ma DC, Ma DED na alibakiza nafasi chache za ubalozi" Alisema Waziri Aweso sio mtu wa kujikweza.
Leta link ya tiktokNashindwa kuiweka humu. Ipo tiktok.
Mwenzake kalishwa SumuHawa ni hatari. Walikuwa tayari kufanya uhaini.
Kumanufesti kabla hujawa?Hatuwezi kumlaumu mkuu.
Pengine alikuwa anafanyia kazi ile "THE LAE OF ATTRACTION" na hapo alikuwa anaimanifest ndoto yake ya kuwa Rais.
Na hilo sio kosa kwani kila mtu anao uhuru wa kuwaza na kujipangia malengo yake maadamu tu havunji sheria za nchi.
Haishindikani kuutamani, ila kuwa sasa!!!TATIZO NI CCM.... BADAE UTASIKIA RIDH 1 NAE ANATAKA AWE RAIS
YupiMwenzake kalishwa Sumu