Shabiki mwezangu wa Yanga unakubali Morrison kurudi Yanga?

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

Jaribuni kuficha ujinga wenu hata kidogo
 
Kilichoifanya aondoke ni nini? Ameona Yanga ndio wajinga wajinga wakuwapiga pesa. Morrison si kacheza klabu bingwa, na Shirikisho CAF je umesikia tetesi yeyote hata ukihitajika na katimu kadogo nje ya Tanzania? Klabu inataka kufika mbali mashindano ya kimataifa halafu maono ya mbali hawana. Morrison angekuwa na kiwango, asingeishia kucheza Simba na Yanga pekee.
 
Ujinga gani wakati tuzungumzia ligi kuu bara ilioanza mwaka 1997
We uto vipi
 
Nihesabie hapo idadi ya makombe kwa miaka halafu tujue nani mjinga

 

Nilichogundua timu ya Yanga haikufai Mzee,tafuta timu ya maana ya kushabikia coz hii Yanga itakuua
 
Nilichogundua timu ya Yanga haikufai Mzee,tafuta timu ya maana ya kushabikia coz hii Yanga itakuua
Server za JF ni zero sana, hii comment yako imeniletea notification kuwa umeni quote halafu hapa inaonesha umem-quote mtu mwingine

 
Yan leo hii makolo wanawapa ushauri wa usajili Yanga!makolo siku morrison akikutana na nyie lazima awapasue bumbavu
 
Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki.

Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
Uyo mwizi wa magari nchi nyingi zimempiga ban,arudi kwao huko ghana akaokote makopo
 
Kama Kweli Amerudi Kwani Viongozi Wa Yanga Wa Shida Gani Aisee Na Huyu Mtu Ina Maana Africa Hii Yote Hawajaona Wachezaji Wengine Wazuri Kama Alivyo Yeye Na Tena Wengine Hata Kumzidi Mpaka Wamng'ang'anie Ivo.
Tatizo pesa ya kuwasajiri hao wakali club zetu hazina.
 
2009 yanga alichukua ubingwa?

1985 Yanga alichukua ubinngwa? na m,aji maji walichukua mwaka gani?

1989: Malindi ya Zanzibar ilichukua ubingwa lakini hapo kongole imeenda jangwani

Na 1992 kwa mara ya pili tena malindi walichukua ubingwa lakini takwimu zimeenda jangwani

Kuanzia 1993-1995 simba alichukua mfululizo lakini hapo kwenye data zako imeonesha 1993 alichukua yanga, yani hata kwenye website ya yanga hawajaandika hiyo kitu ambayo wewe umeiweka kama references hapa

1998 ubingwa ulichukuliwa na majimaji, lakini data zako kama kawaida zinasoma yanga. Yani utafikiri hii club inamilikiwa na wakenya wazee wa kusema kila kitu chao.

2002 Simba alichukua ubingwa, haya ebu angalia tena hizo data zako hapo zilizoandika yanga alichukua ubingwa 2002

Hii aibu wameikwepa hata yanga kwenye official site ebu cheki hapa mwenyewe

Hivi unafikiri Insigne alikuwa mjinga kususia huu mjadala? unafikiri hakuona hizo data zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…