Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Safi sana Rais Samia,

Hapa Mzee Kubenea anatakiwa amshukuru sana huyu mama na magazeti yake ya Mwanahalisi,Mawio,

Kazi iendelee, tuko vizuri Sana Tanzania,
NAOMBA KUFAHAMU YALE MAGAZETI MWANAHALISI,TANZANIA DAIMA NA MAWIO YAMEANZA KUONEKANA MTAANI?MI SIJAPITA KTJ MEZA ZA MAGAZETI MWAKA SASA.
 
Mnawapunguzia zaidi Ili waendeleee kutukana?

Nadhani kuna shida ya Wana mikakati wa ccm,hao watu wa online sio wengi na ni watu wenye uwezo kiasi kwa hiyo ingefaa kutengeneza sera zinazowagusa watu wa tabaka la chini..
 
Hoja hapa ni kutoa ajira kwa vijana mkuu,

Swala la wao kutukana watakutana na TCRA huko,

Nadhani hili ni jambo jema sana MKUU,

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mbona yule wa moto mara moja aliambiwa amefanya makosa kuweka punguzo kwakuwa tayari alikuwa anavuruga budget ya 2022/2023
 
Vijana watumie fursa hii kujenga ustawi wao kiuchumi na Taifa si kutukana na kulichafua taifa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Haya mabadiliko yanahitaji idhini ya Bunge kuipitisha? isijekotokea yanarejeshwa kama ile Shs 100/=?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…