CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naijua kama genge la matapeli na majangili tupuNieleze nini mkuu 😁😁
Wewe CCM huijui kwani?
NAOMBA KUFAHAMU YALE MAGAZETI MWANAHALISI,TANZANIA DAIMA NA MAWIO YAMEANZA KUONEKANA MTAANI?MI SIJAPITA KTJ MEZA ZA MAGAZETI MWAKA SASA.Safi sana Rais Samia,
Hapa Mzee Kubenea anatakiwa amshukuru sana huyu mama na magazeti yake ya Mwanahalisi,Mawio,
Kazi iendelee, tuko vizuri Sana Tanzania,
Mnawapunguzia zaidi Ili waendeleee kutukana?View attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
NAOMBA KUFAHAMU YALE MAGAZETI MWANAHALISI,TANZANIA DAIMA NA MAWIO YAMEANZA KUONEKANA MTAANI?MI SIJAPITA KTJ MEZA ZA MAGAZETI MWAKA SASA.
Mnawapunguzia zaidi Ili waendeleee kutukana?
Nadhani kuna shida ya Wana mikakati wa ccm,hao watu wa online sio wengi na ni watu wenye uwezo kiasi kwa hiyo ingefaa kutengeneza sera zinazowagusa watu wa tabaka la chini..
Hoja hapa ni kutoa ajira kwa vijana mkuu,Mnawapunguzia zaidi Ili waendeleee kutukana?
Nadhani kuna shida ya Wana mikakati wa ccm,hao watu wa online sio wengi na ni watu wenye uwezo kiasi kwa hiyo ingefaa kutengeneza sera zinazowagusa watu wa tabaka la chini..
View attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Leo Jumanne 19 Aprili, 2022.
sahihi kabisa,Vijana watumie fursa hii kujenga ustawi wao kiuchumi na Taifa si kutukana na kulichafua taifa. 🙏🙏🙏
NailedPiga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Zaidi ya miaka 6 tulikwama
Halafu anaongea yeye kama nani? Tuanzie hapoWanasubiri teuzi hakuna kingine
Tuna mifumo mibovu snHalafu anaongea yeye kama nani? Tuanzie hapo
Hii nchi inaendeshwa kihuni
Huko kwenu CHADEMA?Tuna mifumo mibovu sn
Hilo lijinga Naona limerudiVijana wepi mzee? Hebu acha unazi
Ni kuligonga unfollow tuHilo lijinga Naona limerudi
Haisaidii,tatizo lijamaa ni kama jini,kila thread utalikuta tuNi kuligonga unfollow tu
Lamba block tuHaisaidii,tatizo lijamaa ni kama jini,kila thread utalikuta tu
Lamba block tu
😀😀😀Lamba block tu
daaahHaisaidii,tatizo lijamaa ni kama jini,kila thread utalikuta tu