Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

Kazi nzuri sana
 
Great, Tanzania
 
Naomba mkumbuke kwamba Sheria ziko pale pale na hazijabadilishwa. Mnaweza kusifia kufunguliwa lakini tujiulize je wakivunja sheria tena hawatafungiwa? Au mnafikiri imekuwa soko huria mana hivi vigazeti na viTV havichelewi kupotoka. Sababu ya kufungiwa hizi media zilikuwa halali kabisa kwa mujibu wa sheria so madam alichofanya ni amnesty tu ili asisemwe sana wakati akianza harakati za kuendesha nchi. Muda ni mwalimu mzuri sana
 
Mbona yule wa moto mara moja aliambiwa amefanya makosa kuweka punguzo kwakuwa tayari alikuwa anavuruga budget ya 2022/2023
Halafu hilo suala la yule mtoto kuvunja sheria halijajibiwa mpaka leo
 
Hilo ni jambo jingine ila tunachojua bei imepungzwa kwa 95%
 
Kiuongozi na kimaono, kumlinganisha Samia na Magufuri, ni sawa na kulinganisha Mlima Kilimanjaro (Samia) na mlima Lukumburu (Magufuli).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…