- Thread starter
- #161
SijakuelewaAda mjweke nyie akague mnajosifu. Poleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijakuelewaAda mjweke nyie akague mnajosifu. Poleni
💪💪💪Shaka deserves better than that
Hakika Shaka ni mtu na nusuShaka ni hazina kwa Taifa
Kazi nzuri sanaView attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Jumanne 19 Aprili, 2022.
ccm imekuwa TCRA? mnatafuta kodi kwa fujo🤣🤣
Mzee wewe ni mjasiriamali eneo gani?
Hongera Sana, hayo ndio matunda ya
FactVijana watumie fursa hii kujenga ustawi wao kiuchumi na Taifa si kutukana na kulichafua taifa. 🙏🙏🙏
mambo yatakuwa vizuri soon tu,Washushe makali ya maisha sio extrass, washushe mafuta ya kula na pia petrol na diesel na kerosine
🙏🙏😻Kazi iendelee, Tanzania iko vizuri sana,
Great, TanzaniaView attachment 2193845
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa.
Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye kwa kushusha gharama za kusajili "Online TV" kutoka TZS 1,000,000 ( milioni moja) ya awamu iliyopita hadi TZS 50,000 ( elfu hamsini ) ya sasa kwa kutambua kuwa kwasasa duniani " Mitandao ni Ajira".
Wakati huohuo, Amempongeza sana Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Pamoja na Waziri Nape Moses Nauye kwa kuvifungulia vyombo mbalimbali vya Habari vilivyofungiwa kwa muda mrefu kwani Vimerudisha ajira kwa Watanzania wanyonge na vimeongeza wigo wa kupata habari na wanahabari.
Aidha, Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kutekeleza kisawasa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020|25 hasa kifungu cha 125,kinachosisitiza Uhuru wa habari na wanahabari kwa WATANZANIA wote "Na ndio sababu leo watu wanakosoa na wanabaki kuwa salama " alilisisitiza bwana Shaka Hamdu Shaka.
Ndg Shaka Hamdu Shaka ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Jengo la Studio za kisasa za Televisheni ya TBC2 pamoja na kipindi kipya cha "Jambo Tanzania", Mikocheni Jijini Dar es Salaam Jumanne 19 Aprili, 2022.
Halafu hilo suala la yule mtoto kuvunja sheria halijajibiwa mpaka leoMbona yule wa moto mara moja aliambiwa amefanya makosa kuweka punguzo kwakuwa tayari alikuwa anavuruga budget ya 2022/2023
Hilo ni jambo jingine ila tunachojua bei imepungzwa kwa 95%Naomba mkumbuke kwamba Sheria ziko pale pale na hazijabadilishwa. Mnaweza kusifia kufunguliwa lakini tujiulize je wakivunja sheria tena hawatafungiwa? Au mnafikiri imekuwa soko huria mana hivi vigazeti na viTV havichelewi kupotoka. Sababu ya kufungiwa hizi media zilikuwa halali kabisa kwa mujibu wa sheria so madam alichofanya ni amnesty tu ili asisemwe sana wakati akianza harakati za kuendesha nchi. Muda ni mwalimu mzuri sana
Karibu sana pacha😀😀😀Mkuu, am back again, kazi iendelee
CM 1774858 namwelewaga sanaKaribu sana pacha