Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM


Kwahiyo unataka kusema JPM na Mama si kitu kimoja.Acheni kutumia mitandao vibaya Mama na JPM ni wamoja.
 
Maisha Matamu Tunayataka Wote
Ila Sasa Hivi Yaani Hawa Pole Pole Na Bashiru


Ndiyo Wamekosa Sehemu Ya Trending
Wamekwisha Kisiasa Kabisa Hawana Mfuto
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Ng'ombe Aliyekatika Mkia Machungani Akirudi Zizini Wenzake Watajua Hana Mkia!!😃😂😀😁😆😅
JPM
 
polepole kwa sasa muache akajiongeze kwenye lugha za kigeni mwenyewe alisema
 
Kumbe wewe bukya ndio polepole!

Umekuja kujipigia debe hapa eti?

Nikuweke darasani kidogo... kama unataka kuwa kiongozi mzuri ni lazima uwe sensitive...ufeel hisia za wale unaowaongoza. Kwa nini polepole alikuwa anachukiwa na watanzania wengi? Kwanini? Jibu...hakuwasensitive!
 
Kwanini ajifunze kwa january, yeye ndio mwalimu , mwache afanye kwa utashi wake mwenyewe
 
À
Zamu ya wazanzibar kuongoza Tanganyika.

you so stu-pid and lazy. hii ni point nayo unaongea. sasa kuna tatizo gani kama anatatua matatizo ya wananchi. ndio maana wakenya wanasema tuna kila kitu lakin hatuwapiti kwa maendeleo, kwa akili kama yako hatuwezi fika.
Anatatua kama nan?
Yeye ni mtumishi wa umma ?
Katiba ilikua inamruhusu kufanya ule ugoro?
 
"KING BILL"

Jamani, wakati mwingine tujaribu kuwa wakweli na tumuogope Mungu - unaposema Mh.Polepole hakuwa sensetive na feelings za binadamu wenzake unamaanisha nini mkuu?

Unazungumzia huyu huyu Polepole tunaye mjuwa wengi wetu au pacha wake i.e his double!! Kwa hiyo kipindi chake "LIVE" kwenye TV kikicho kuwa na lengo la kutatuwa matatizo sugu hapa Nchini ukiwemo uonezi uliyo pindukia wa kuwanyanyasa wanachi wanyonge - unataka kusema Mh. Pole Pole alikuwa anafanya maigizo!!

Kipindi cha TV alichokuwa ana host Mh.Pole Pole kilimwonyesha in his true colour, hata body language yake ilionyesha kwamba ni binadamu ambaye anajali na kuweka maanani shida za wenzake - wasio mpenda watajaribu ku-manufacture lame excuses nyingi tu zenye lengo la kumwaribia sifa lakini ukweli mara zote utabaki kwamba Mh. Pole Pole ni trurly hypersensetive person wa kujali shida za wenzake, as I said mifano ya ku-support ukweli huo tunayo.
 
Ccm inazidi kustawi huku kila kiongozi akiwa na zama zake.

Machadema acha yaendelee kukaa kwa amsterdam sisi tuendelee kujenga nchi
Acha lugha za kishamba. Kwani ukiwaita Chadema badala lugha ya kikatili utapungukiwa nini? Grow up!
 
you so stu-pid and lazy. hii ni point nayo unaongea. sasa kuna tatizo gani kama anatatua matatizo ya wananchi. ndio maana wakenya wanasema tuna kila kitu lakin hatuwapiti kwa maendeleo, kwa akili kama yako hatuwezi fika.
Acha matusi. Stupid ni mtu anayejibu hoja kwa matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…