Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa.
=======
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.Shaka Hamdu Shaka ndiye Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi CCM akichukua nafasi ya Humphrey Polepole aliye teuliwa kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
Aliwahi kusimamishwa kazi na Mwenyekiti wake Rais Magufuli wakati huo akiwa Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro kwa kosa la kula rushwa.
1} Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka asimamishwa kwa tuhuma za rushwa
Kwahiyo unataka kusema JPM na Mama si kitu kimoja.Acheni kutumia mitandao vibaya Mama na JPM ni wamoja.