Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Mambo ya praise and worship kumbe yanaendelea?!
kuwa waziri mkuu sio kigezo kuwa anatakiwa sehem .Majaliwa nani hamtaki kwenye Chama?
Angekuwa Waziri Mkuu Mpaka leo?
Ally Bad🏤kuwa waziri mkuu sio kigezo kuwa anatakiwa sehem .
majaliwa anapigwa vita kila siku ya mungu kwa yale maneno anayotupiwa kila siku wewe hauyasikii au bado umelala
Wewe unatishwa na maneno ya akina Tito Magoti wa CHADEMA?kuwa waziri mkuu sio kigezo kuwa anatakiwa sehem .
majaliwa anapigwa vita kila siku ya mungu kwa yale maneno anayotupiwa kila siku wewe hauyasikii au bado umelala
Akili hizi ni hatari kwa afya ya walaji. Ana ubora gani huyo kiasi cha kumkosa mtu mbadala wake. Mnaweza kuongea kitu ili kufanya watu wakufuruKuwa mkweli mkumuacha Rais Samia ni nani Mwingine unadhani anafaa kuwa Rais wa kiwango chake?
Nadhani weewe umtaje huyo mtuAkili hizi ni hatari kwa afya ya walaji. Ana ubora gani huyo kiasi cha kumkosa mtu mbadala wake. Mnaweza kuongea kitu ili kufanya watu wakufuru
Dah! washukuruni wale woote wanao wastua mtimize wajibu wenu, ni kweli hamjasababisha ukame lakini mnayo madaraka ambayo mkiyatumia vizuri mtahakikisha watu wote wanapata maji safi.Wale vijana wa Upinzani wao wanachukua Ukame kama Agenda yao kesho mvua ikinyesha yakatokea MAFURIKO wanapata tena Agenda mpya,
Watu hata Ofisi hawana wanataka tuwaamini ili watujengee Sisi Ofisi za Serikali kweli??!
Ningejua mobile namba yako ningekutumia hata buk 2 kukupongeza.Shaka anahitaji ushauri wa kisaikolojia. Soon ataanza kuokota chupa chakavu mitaani.
Hivi CCM iliweka lini sera ya ufugaji bora ili kuondokana na ufugaji wa kutangatanga unaoharibu mazingira?
CCM imesimamia lini sera ya mazingira kikamilifu? Wao wanalinda vyanzo vya maji kama wanavyolinda vyanzo vya HAZINA ili wanufaike. Hawana mikakati endelevu wala nia ya dhati ya kuyakabili mabadilko ya tabianchi
Uwepo wa CCM madarakani kinyume na katiba ni laana kwa nchi. Mwenye laana hajitambui lakini utayaona matendo yake laanifu. Ndivyo CCM ilivyo.
Kukosekana kwa mvua ni matokeo ya laana iliyo juu ya nchi. Laana hiyo ni CCM
Kunakutoa maoni na "KUPINGA" maoni lazima yawe na way fowardDah! washukuruni wale woote wanao wastua mtimize wajibu wenu, ni kweli hamjasababisha ukame lakini mnayo madaraka ambayo mkiyatumia vizuri mtahakikisha watu wote wanapata maji safi.
Wapo watu wako jangwani na hakuna maji lakini wametumia akili kupata maji mpaka ziada, na nyie tumieni akili zaidi sie tutapata maji mengi na kuuza mpaka nje.
Acheni mawazo hayo ya kuwaza ofisi na majengo, wekezeni katika akili na fikra tutafika mbali zaidi ya hapa sie tunazo fursa nyingi nyie ndio mnakwamisha kwa uhafidhina wenu na kuamini fikra za mwenyekiti tu.
Jamii forums siku hizi imevamiwa na vijana wala mihogo.Nadhani weewe umtaje huyo mtu
Lini umewahi kutoa maoni?Kunakutoa maoni na "KUPINGA" maoni lazima yawe na way foward
Sasa Kama CCM hatutegemei kura mbona hamfuti hiyo SACCOS yenu hapo UFIPA?CCM haitegemei kura kukaa madarakani. Kama wana mpango wa kuiba kura aendelee nao , na sio kujifanya watanzania watampa kura. Kama kutekeleza miradi kwa kodi za wananchi kunatoa kura, basi makaburu wa Afrika kusini wangekuwepo madarakani hadi leo.
Kwani kupata madaraka ni lazima kufanyike uchaguzi?Sasa Kama CCM hatutegemei kura mbona hamfuti hiyo SACCOS yenu hapo UFIPA?
Mtaozea jela kama Mbowe jaribuni muoneKwani kupata madaraka ni lazima kufanyike uchaguzi?
Mtaozea jela kama Mbowe jaribuni muone
Mkuu Kama huijui jela Muulize Mbowe na ujiulize Kwanini yuko kimya hivi,Inaonekana mnaiba uchaguzi ili muendelee kukaa madarakani kwa shuruti mkiamini mtatumia hofu ya jela kutishia watu. Subiri tu muda kidogo mtaona machafuko ambayo hamjawahi kuyaona. Na huko jela mnakotishia watu ndio nyie mtaishia.
Mkuu Kama huijui jela Muulize Mbowe na ujiulize Kwanini yuko kimya hivi,