CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
- Thread starter
- #41
Wewe pimbi, hizo ofisi za ccm ni nyie mlijenga? Si zilijengwa na watz wote wakati wa chama kimoja? Kenge pori wewe!Wale vijana wa Upinzani wao wanachukua Ukame kama Agenda yao kesho mvua ikinyesha yakatokea MAFURIKO wanapata tena Agenda mpya,
Watu hata Ofisi hawana wanataka tuwaamini ili watujengee Sisi Ofisi za Serikali kweli??!
Waambie ukweli hawa mapimbi!Miaka 60 ya uhuru nchi bado ina changamoto za umeme na maji. Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere.
Jengeni Ofisini mpate imani kwa Watanzania,Wewe pimbi, hizo ofisi za ccm ni nyie mlijenga? Si zilijengwa na watz wote wakati wa chama kimoja? Kenge pori wewe!
Tatizo ni kwamba tunawaona CHADEMA ni saccoss lakini mbona msajili hajawafuta?Sasa Kama CCM hatutegemei kura mbona hamfuti hiyo SACCOS yenu hapo UFIPA?
Kiwango gani?Kuwa mkweli mkumuacha Rais Samia ni nani Mwingine unadhani anafaa kuwa Rais wa kiwango chake?
Jengeni Ofisini mpate imani kwa Watanzania,
Unafahamu ofisi zenu zimekuwa kijiwe cha kugawania chenji?Jengeni Ofisini mpate imani kwa Watanzania,
NakaziaAisee haya ni matusi.
Anyway, ccm inaongoza ng’ombe.
Tena ndiyo zile zinakunywa lita 45 ndani ya masaa 24Nakazia
View attachment 2414100
SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO
===
Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo
Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.
Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.
Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.
"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.
"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.
"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.
Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.

Dah hizi ni doto za mchana huyu b mkubwa nchi Isha mshidaView attachment 2414100

Nilikuwa Morogoro juzi wanasema tokea mwezi wa 7 hawajawai kuona bomba likitoa maji,umeme mji mzima hauna umeme, CCM wameturudisha enzi za giza,hata wajipambe, mtaani hali ni mbaya mno,washukuru tu uturivu wa watanganyika Samia asingelikuwa IkuruView attachment 2414100