Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

Nilikuwa Morogoro juzi wanasema tokea mwezi wa 7 hawajawai kuona bomba likitoa maji,umeme mji mzima hauna umeme, CCM wameturudisha enzi za giza,hata wajipambe, mtaani hali ni mbaya mno,washukuru tu uturivu wa watanganyika Samia asingelikuwa Ikuru
wamekudanganya mkuu, nimelala majuzi hapo Morogoro maji na Umeme Vipo
 
Kwenye hii sekta Rais Samia ataacha alama kubwa na wamama watamshukuru 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221014-211708.png
    Screenshot_20221014-211708.png
    215.8 KB · Views: 10
Nilikuwa Morogoro juzi wanasema tokea mwezi wa 7 hawajawai kuona bomba likitoa maji,umeme mji mzima hauna umeme, CCM wameturudisha enzi za giza,hata wajipambe, mtaani hali ni mbaya mno,washukuru tu uturivu wa watanganyika Samia asingelikuwa Ikuru
CCM ndio wameleta ukame?
 
wamekudanganya mkuu, nimelala majuzi hapo Morogoro maji na Umeme Vipo
Hao Ni wapotoshaji achana nao..Hao ndio husema Hakuna mradi mipya,hawajui mikopo unaenda wapi na upuuzi mwingine Kama huo..

Uliza mtu yeyote was Rukwa kwamba hivi mgao wa umeme upo mitandaoni au wapi?
 
View attachment 2414100
SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO
===
Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.

===
Bonge la chawa shaka.
 
Ukame ni laana ya wizi katika uchaguzi.Mmepigwa upofu hamuwezi kujua.
 
Kuna Nchi ikiwahi maliza changamoto? Anyway Ni akili ndogo Cha Chadomo zinawasumbua..

Rais Samia kakwamua mradi uliokwama zaidi ya Miaka 10 iliyopitq 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221022-184224.png
    Screenshot_20221022-184224.png
    141 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221030-082814.png
    Screenshot_20221030-082814.png
    45.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221030-083019.png
    Screenshot_20221030-083019.png
    125.5 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221030-082935.png
    Screenshot_20221030-082935.png
    206.2 KB · Views: 11
View attachment 2414100
SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO
===
Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.

===
Shaka kama Shaka
 
Back
Top Bottom