Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

Hakuna aliyesema ukame umeletwa na CCM, tunaisema CCM maana ndio chama chenye serikali na sera zinazoweza kudhibiti athari za ukame, kuanzisha na kusimamia mbinu zinazoweza kuzuia ukame na hata ukitokea kusiwe na madhara.

Dunia na Uarabuni zilikuwa jangwa hakuna maji wala kupanda mazao, uongozi bora na watu wanaojua kufikiri wameifanya dubai kuwa destination inayotamaniwa na kila mtu duniani...

Shaka akili ndogo sana aisee.
 
Sasa uchumi wa Mafuta wa Dubai unaufananisha na upi wa Tanzania?
 
una dhahabu, Tanzanite, almasi, Gas na madini ya aina tofauti tofauti pamoja na rasilimali nyinginezo zimetapakaa kila kona. kwa pamoja vyote hivyo unahitaji kuifanya nchi kuwa zaidi ya dubai.
 
Back
Top Bottom