Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇