Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yatima bado unaweweseka, yule shetani wenu wa Chato kwa miaka 6 hakutowa ajira wala hakupandisha mishahara.Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Mama kwa kilindi cha mwaka mmoja tu ametowa ajira lukuki na jana lile jambo ka nyongeza ya mishahara limekamilika.
Haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia mishahara kupandishwa vile.
Huyo marehemu pumzikeni naye kwa amani tu kuzimu, nchi sasa imetulia na imepata Rais anayejari utu wa watu na maendeleo ya watu.