Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Moderator futeni huu uzi maana mmeshabadili ujumbe
 
Huyu jiwe alifanikiwa ktk kuangamiza nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Akaitenga nchi na mataifa mengine.

Kuna haja ya kuanzisha siku ya kitaifa ya kumfukua na kumchapa viboko kwa uharibifu wa nchi.
Usiishi kwa kutegemea Sana ukitegemea Sana hayo mataifa unayosema aliyatenga kuna siku utalala bila nguo kuwa makini
 
Namtabilia miasha mafupi sana ya kisiasa , vijana wenzie wanamsema sana huku baa za sinza
1.Hafanyi kazi yy kumsifu mama tu
2.Jinsi livyokuwa anakanywa kauli zake kwa wapinzan kumvutia magu na livyobadili gia
3.Jinsi walioteseka january , nape, wanavyomchongea kabur
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
 
Attachments

  • BA40C6A5-60EE-417C-A483-B31764C0AC77.jpeg
    BA40C6A5-60EE-417C-A483-B31764C0AC77.jpeg
    57.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom