Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Mpumbavu mkubwa wewe barabara zinajengwa kwa Kodi zetu tunazokatwa. Zinapelekwa kwenye Mfuko TANZANIA ROAD FUND ulioanzishwa na Rais Benjamin Mkapa (RIP). Na hakuna Rais ambaye hakuwahi kujenga barabara kwa mfumo huo.
Nenda mahakamani sio kuleta porojo apa
 
1.Kuusimamia msikiti wa bakwata pale kinondoni mpaka ukakamilika kama alivyoomba kwa mfalme wa morocco.

2. Kuhakikisha mali za wakfu zinarudishwa kwa waislamu ikiwemo eneo la chang'ombe alilouziwa manji na waislam wasio waaminifu hali iliyosababisha taharuki mara kwa mara kutoka kwa sheikh Ponda enzi za JK.

3. Kuhakikisha eneo la magomeni kotaz linarudishwa kwa wananchi kama ambavyo manispaa ya kinondoni ilishalikabidhi kwa manji kwa miaka 99 na magu akajenga ghorofa ambapo wengi wanaokaa pale ni muslims.

4. Kuhakikisha msikiti wa kule dodoma unajengwa na kuisha kama ambavyo aliitisha michango kwa ajili ya ule msikiti.

5. Kuwaleta pamoja viongozi wa dini na hivyo kuondoa hali ya sintofahamu baina ya dini na dini, madhehebu kwa madhehebu, taasisi za dini mfano tulishuhudia sheikh mkuu akihudhuria shughuli za Al hikma foundation chini ya sheikh Kishki.

6. Alihakikisha sheikh Ponda anaachiwa huru kutokana na kesi ya kuchochea vurugu enzi za JK hivyo kuendelea na shughuli zake za uanaharakati.

7. Alitoa eneo la baba yake kule chato kwa taasisi ya Al hikma ili ujengwe msikiti.

8. Lakini aliivunja MOU kiaina kama ambavyo ilijuwa inalalamikiwa na waislamu kwa kuhakikisha serikali inamiliki vituo vya afya, hospitali, kudahili wanafunzi kwenye vyuo vya serikali kama kipaumbele, serikali ina vyuo na shule zinazotoa matokeo mazuri tofauti na ilivyokuwa awali ambapo serikali ilitegemea kwa kiasi kikubwa hizi huduma kutoka kwenye taasisi za kikristo.

Bahati mbaya mnafiki ni mwepesi kusahau.
Wewe poyoyo, Magufuli hajasimia wala kuujenga msikiti wa Bakwata. Pesa za kuujenga katowa Mfalme wa Morocco na waliousimamia kujengwa ni wenyewe Bakwata.

Hilo moja tu linakutosha kwa sasa, mengine yote uliyoyaandika ni porojo tupu.
 
Umeulizia kipi alichosimamia kikafanikiwa.? Vipi kuhusu elimu bure kwa elimu ya awali?

Vipi kuhusu zahanati, vituonvya afya na hospital alizojenga?

Mbona reasoning yako ndogo sana? Unaleta habari ya nyumba na ndege kukamatiwa Canada?
Ndivyo unavyojidanganya kuwa elimu bure. We wacha upoyoyo, unafikiri kodi zetu tunazotoa zinafanya kazi ipi?

Kama ulikuwa huelewi, gharama za kuwasomesha zinachangiwa na kila Mtanzania, kwa kila anachopokea na kutumia. Ni kodi zetu. Ulitumika ni usanii tu.
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Shaka anataka Wakuu wa Mikoa wa Wilaya waseme mazuri yapi? Wasifie uchafu kila kona au kushamiri kwa panya road ? CCM wajitahisi kutafuta viongozi ambao wamewahi kufanya kazi hata kuuza genge kwa mwezi mmoja. Shaka hana analojua kuhusu maisha zaidi ya propanda, badala ya kuwaambiwa Wakuu wa mikoa na wilaya waondoa kero kwa wananchi yeye anataka wasifie!
 
Kwa hizo pesa za Road fund kama zisingekuwa na waziri mwenye dhamana makini na msimamizi mzuri hizi barabara zingejengwa? Shwain makalio.
It's about strong institutions and not strong people. Endelea kumuabudu mungu wenu wa Chato
 
Ndivyo unavyojidanganya kuwa elimu bre. We wacha upoyoyo, unafikiri kodi zetu tunazotoa zinafanya kazi ipi?

Kama ulikuwa huelewi, gharama za kuwasomesha zinachangiwa na kila Mtanzania, kwa kila anachopokea na kutumia. Ni kodi zetu. Ulitumika ni usanii tu.
Shame on you
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Wana wajibu wa kueleza mafanikio ya serikali vinginevyo wapishe..

Sio swala la kulazimisha ila ni swala la kuwakumbusha wajibu wao..

Kwani wewe kwa mfano unayajua mafanikio yaliyofanyika Katavi? Ni lazima waeleze..

Kwa mfano ukiwa kwenye Mkoa X huwezi jua kinachotendeka Wilaya jirani kama hujaelezwa au kama hujatembea huko..

Kwa hiyo yuko sahihi.. Nikuulize kwa mfano mimi sijui mafanikio ya Mwendazake mkoa wa Kilimanjaro au Lindi .
 
Kizuri chajiuza kibaya chajitangaza mama
 
Jamaa anataka hao wakuu wa mikoa waanze kujitoa akili kama enzi za akina chalamila katika awamu 5
 
Huyu jiwe alifanikiwa ktk kuangamiza nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Akaitenga nchi na mataifa mengine.

Kuna haja ya kuanzisha siku ya kitaifa ya kumfukua na kumchapa viboko kwa uharibifu wa nchi.
Tahadhari tuu, isije kuwa unaelekea ukichaa!!
 
Mama ile kusema tu barabara za changarawe tumeona teyari amekata tamaaa kabla ya kujaribu kutuwekea lami.ATUWEKEE LAMI na mtandao wake nchini uwe mkubwa na fry over ziishe.
Pili ile ya kuwapa wakandarasi wazawa barabara tulifurahia lakini Mbarawa juzi kasema shida sio serikali kutoa fedha kwenye ujenzi wa hizi barabara.basi waziri wa ujenzi au katibu wake wateuliwe watu wakali kufuatilia hii utekelezaji wa mikataba y a barabara apewe sabaya au makonda.
 
Waislamu hawajawahi kushindwa kujenga msikiti we nguchiro!!!!!!top 10 ya matajiri nchi hii 8 wanaweza kuwa waislamu
Hujaelewa we kicheche. Sijasema wanashindwa sababu misikiti ilikuwepo kabla yao pia. Lakini bado kunakuwa na tofauti ya ukubwa na urembo kati ya msikiti mmoja na mwingine. Hao matajiri wamejenga msikiti gani mkubwa ukitoa ule aliojenga gadafi dodoma na huo aliojenga mfalme wa morocco baada ya kuombwa na JPM.?
 
Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia Mfano kukopa IMF 1.3 trilion.​

Sasa we utamuambia mwananchi tumekopa 1.3 tumejenga matundu ya vyoo? Maana maendeleo yakiwepo yataonekana tu. Ukijenga vituo vya afya watu watavitumia wataona, ukijenga masoko ya kisasa watu wataona, ukituletea umeme tutaona, ukikarabati mashule tutaona, ukituletea maji tutaona tu.
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Mada ya kijinga sana kwa mwezi huu, Mkuu wa Mkoa ni muwakilishi wa Rais
 
Mama ile kusema tu barabara za changarawe tumeona teyari amekata tamaaa kabla ya kujaribu kutuwekea lami.ATUWEKEE LAMI na mtandao wake nchini uwe mkubwa na fry over ziishe.
Pili ile ya kuwapa wakandarasi wazawa barabara tulifurahia lakini Mbarawa juzi kasema shida sio serikali kutoa fedha kwenye ujenzi wa hizi barabara.basi waziri wa ujenzi au katibu wake wateuliwe watu wakali kufuatilia hii utekelezaji wa mikataba y a barabara apewe sabaya au makonda.
Una utaahira mwingi Sana..Unaweza nipa Takwimu za lami mlizojenga kwa miaka 6?
 
Back
Top Bottom