Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Kuna vipofu kama nyinyi Sukuma Gang hamuoni kwa vile macho yenu yamepofuka, hivyo ni sawa kwa Shaka kutumia nguvu kuwaonyesha.

Bongo za sukuma gang zimejaa jekaya za propaganda za Magufuli lazima tuzisafishe
 
We mpumbavu unayefikiri kwa makalio una nini cha maana unachoweza post humu?
 
Hakuna ajira iliyoshuka labda kwa vyeti feki na ajira za dili mfano zamani kulijuwa na watu wanavaa vizuri utawakuta city center, hao ukitaka passport, leseni, risiti feki za tra vyeti feki, vibali vya kazi bubu basi unawaona fasta na unaletewa ndani ya masaa tu. Pesa yako.

Labda useme ongezeko la watu wasio na ajira ambalo lilichangiwa na ongezeko la wanaomaliza chuo idadi yao kuongezeka sababu JPM aliongeza kiwango cha mikopo hali iliyopelekea wanachuo wengi kupata udahili.

Vyeti fake kwenye makampuni ya watu binafsi? Yeye mwenyewe alikuwa na PhD fake, sasa sijui ni vyeti fake gani alikuwa anapambana navyo.
 
Mafanikio aliyoleta hayati JPM kwa taifa hili hayajapita bado yapo na yataendelea kuwepo. Unajitoa fahamu na kuleta hoja za kipuuzi. Hizo barabara alizosimamaia zikajengwa hadi leo wewe na mme wako aliyekuoa mnazitumia. Mengine jiongeze.
Mpumbavu mkubwa wewe barabara zinajengwa kwa Kodi zetu tunazokatwa. Zinapelekwa kwenye Mfuko TANZANIA ROAD FUND ulioanzishwa na Rais Benjamin Mkapa (RIP). Na hakuna Rais ambaye hakuwahi kujenga barabara kwa mfumo huo.
 
Kwa hizo pesa za Road fund kama zisingekuwa na waziri mwenye dhamana makini na msimamizi mzuri hizi barabara zingejengwa? Shwain makalio.
 
Kwa hiyo wakazi wa arusha kuuona kwa macho ndio hakuna upigaji? Kutandaza mabomba ya maji taka hapo mjini ndio bil 500? Ila kutoa maji tinde mpaka Tabora bil 450+ ?

Huwezi kukubali ukweli nakujua vizuri
Wanakuelewa sana..hilo ni sikio la kufa
 
Kwa hiyo wakazi wa arusha kuuona kwa macho ndio hakuna upigaji? Kutandaza mabomba ya maji taka hapo mjini ndio bil 500? Ila kutoa maji tinde mpaka Tabora bil 450+ ?

Huwezi kukubali ukweli nakujua vizuri

Una uelewa mdogo sana, huko Arusha mradi ni wa maji safi na majitaka. Isitoshe eneo lake tayari ni mjini hivyo kuna mambo mengi ya kuangalia, tofauti na huko mashambani. Ww ndio wale ukiambiwa plot ya 40x40 hapa Dar ni 1b utasema ni upigaji, kwakuwa huko mashambani heka 100 ni shilingi laki 2.
 
Tindo nakujua vizuri. Upo radhi uhalalishe ufiadi ili ujustify chuki zako. Nakujua vizuri japokua nimejoin JF 2020.
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Shaka chawa
 
Ww huna tofauti na huyu chawa mwenzio
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
[emoji116]View attachment 2225325
 
Hakika jiwe ameacha wajane weng sana
Yalionekana ndio maana waimbaji walipata nguvu ya kuyaimba kwa kujiamini.

1. Ujenzi wa Vituo vya afya, hospital za kanda na wilaya.
2. uunganishwaji wa umeme na miradi ya umeme.
3. ukarabati wa shule kongwe, vyuo vya ustawi wa jamii na ujenzi wa maabara na shule mpya.
4. Miradi mikubwa ya usambazaji maji.
5. Miundo mbinu ya barabara, reli, madaraja.
6. Ujenzi wa meli na vivuko.
7. Ujenzi wa viwanda vingi kutikana na sapiti ya serikali.
Leo hii ukiingia akaunti ya insta ya wizara ya afya hakuna hata mradi mmoja wa hospital wa kituo cha afya. Utakutana na mipango tu.

Leo hii wamerudisha ule usemi wao wa enzi za jk kuwa serikali inafanya mchakato, wameuboresha wanasema wanachakata.
 
Hebu taja hizo bidhaa zilizokuwa zinazalishwa na sasa hazizalishw?????
Nafikiri hukuelewa maana ya hiyo slogan. Kuwa taifa la viwanda haina maana kuwa sekta zingine zinakufa.

Lakini ukweki upo wazi alitilia mkazo uwekezaji sekta ya viwanda. Na kwa muda mfupi tulikuwa tunazalisha bidhaa nyingi hapa nchini.
 
Waislamu hawajawahi kushindwa kujenga msikiti we nguchiro!!!!!!top 10 ya matajiri nchi hii 8 wanaweza kuwa waislamu
1.Kuusimamia msikiti wa bakwata pale kinondoni mpaka ukakamilika kama alivyoomba kwa mfalme wa morocco.

2. Kuhakikisha mali za wakfu zinarudishwa kwa waislamu ikiwemo eneo la chang'ombe alilouziwa manji na waislam wasio waaminifu hali iliyosababisha taharuki mara kwa mara kutoka kwa sheikh Ponda enzi za JK.

3. Kuhakikisha eneo la magomeni kotaz linarudishwa kwa wananchi kama ambavyo manispaa ya kinondoni ilishalikabidhi kwa manji kwa miaka 99 na magu akajenga ghorofa ambapo wengi wanaokaa pale ni muslims.

4. Kuhakikisha msikiti wa kule dodoma unajengwa na kuisha kama ambavyo aliitisha michango kwa ajili ya ule msikiti.

5. Kuwaleta pamoja viongozi wa dini na hivyo kuondoa hali ya sintofahamu baina ya dini na dini, madhehebu kwa madhehebu, taasisi za dini mfano tulishuhudia sheikh mkuu akihudhuria shughuli za Al hikma foundation chini ya sheikh Kishki.

6. Alihakikisha sheikh Ponda anaachiwa huru kutokana na kesi ya kuchochea vurugu enzi za JK hivyo kuendelea na shughuli zake za uanaharakati.

7. Alitoa eneo la baba yake kule chato kwa taasisi ya Al hikma ili ujengwe msikiti.

8. Lakini aliivunja MOU kiaina kama ambavyo ilijuwa inalalamikiwa na waislamu kwa kuhakikisha serikali inamiliki vituo vya afya, hospitali, kudahili wanafunzi kwenye vyuo vya serikali kama kipaumbele, serikali ina vyuo na shule zinazotoa matokeo mazuri tofauti na ilivyokuwa awali ambapo serikali ilitegemea kwa kiasi kikubwa hizi huduma kutoka kwenye taasisi za kikristo.

Bahati mbaya mnafiki ni mwepesi kusahau.
 
Chuki zako utakufa mdomo wazi we nguchiro!!!!kama vp nafasi pale pemben ya kabur lake ipo ukazikwe
Hujanielewa. Hiyo bil 500 uliyoitaja sio halisi. Wakati wa JK kulikuwa na wizi tu.

Huo mtandao wa barabara tokea wakati wa Mkapa msimamzizi alikuwa hayati JPM. Hii inaonyesha namna gani alikuwa makini.
 
Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.

Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.

Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325

Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia Mfano kukopa IMF 1.3 trilion.​

Back
Top Bottom