Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nimelazimisha nini?Duh...hata wewe unalazimisha..kila jambo na muda wake..
Duh?Duh......!
Kila jambo na muda wake..Nimelazimisha nini?
Kuokota treni....!!!!Kuna kipindi Watu walikuwa wanaimba mafanikio kama awamu ya 5?
Mafanikio mpaka ya kuokota vichwa vya treni bandarini
Comparison?Kila jambo na muda wake..
Hukusikia hiyo?Kuokota treni....!!!!
Unajidai huelewi...yaliyopita yamepita.Comparison?
🤣🤣🤣 vilitoka mawinguni..nilisikia ila vikataifishwa!!...Hukusikia hiyo?
Mafanikio aliyoleta hayati JPM kwa taifa hili hayajapita bado yapo na yataendelea kuwepo. Unajitoa fahamu na kuleta hoja za kipuuzi. Hizo barabara alizosimamaia zikajengwa hadi leo wewe na mme wako aliyekuoa mnazitumia. Mengine jiongeze.Unajidai huelewi...yaliyopita yamepita.
Kwani wakati wa magufuli hao ma DC na RCs hawakuelezea hayo mafanikio? Unakumbuka makonda aloshawajaza wapuuzi wenzie pale mjini kuelezaa mafanikio ya JPM? Au walikuwa wanaimba kaya pale?Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Mwenye macho haambiwi tazama ukisikia anaambiwa jua hakuna cha kutazamaNani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika.
Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao.
Tusilazimishe mambo kwa nguvu
👇View attachment 2225325
Huyu jiwe alifanikiwa ktk kuangamiza nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa. Akaitenga nchi na mataifa mengine.Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM?