mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Wameingilia akaunti yake hii labdaSitaki kuamini kama huu uzi ni wa nguli wa habari, Pasco!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameingilia akaunti yake hii labdaSitaki kuamini kama huu uzi ni wa nguli wa habari, Pasco!
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Tuanze tu hapa. Unafahamu kidogo kuhusu mambo ya jeshi? Je unafahamu range inafanyikaje? Je ushawai tumia bunduki?Iliwezekana vipi dereva kupona tena kwa maelezo ya kipuuz eti akashuka akajificha chini ya gari.Yani wauaji walikua wanawasubiri tu?Ashuke dereva alaze kiti then ye akajifiche chini ya gari na waanze kumimina risasi 38 ovyoovyo na baada ya hapo wakimbie.Hivi kwanini hamtaki hata kujenga image ya tukio kuona ka inawezekana au lah?
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.
Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.
Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
Hitimisho.
- Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
- The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
- Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
- Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
- Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
- Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa
Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.
Pole.
P.
Machizi mtamuelewa vizuri tu.Bavicha hawawezi kukuelewa!
Mguu wa kulia umejeruhiwa vipi kuliko wa kushoto risasi zilipotokea?
- Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
- Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
- Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
- Maswali yataendelea
Hahahahahah acha kuandika pumba wewe.Yani mtu aliyepewa AK 47 akaue hawez Fanya upuuzi unaoelezea hapo.risasi 38 ni nyingi mno kwa tukio serious. Kuna matukio mengi sana ya uvamizi,ni risasi 3 zimezidi na tukio lisilozid dk.Kwa maelezo yenu ni kwamba wauaji walipoingia ndani wakaanza kusubir kwanza wamuone lisu ndio wampige risasi na wakati huohuo Dereva anaangaika kulaza kiti kumficha lisu naye kushuka na kujificha chini ya gari.Yani baada ya dereva kumficha lisu naye kujificha ndo kumimina risasi kukaanza hahahahahah. Hii movie ya kichina ni noma sana. Tukio la kuvamiwa lisikie tu lkn sio kwa hizi porojoTuanze tu hapa. Unafahamu kidogo kuhusu mambo ya jeshi? Je unafahamu range inafanyikaje? Je ushawai tumia bunduki?
Haya mambo kama hufahamu kamwe huwezi nielewa kwa kweliii!! Kiufupi tu ni hivi walengaji walikuwa na papala katika kupga gari, pia mpgaji hakukaa angle nzuri hivyo hakuona vizuri nini kinaendelea kwenye gari LA lisu,pia tambua kwamba dereva wa lisu ashapitia baadhi ya mafunzo ya awali hivyo inaonyesha alijianda baada tu yakuona tayari washakuwa targeted!!!
Mwishooo namalizia kwa kusema hivi hao waliofeli hiyo mission now wako katika mateso makubwa kwa kufeli kutimiza kazi wako wapi na nin kinafanyika juu yao hapa si mahala pake
Mm sijasemea sana serikali nimechukizwa tu Na jinsi watu wanavyoshambulia mtoa madam wanataka awe anaandika post za kuwafurahisha wao.Duuh sitaki kuamini MTU kama wewe unaongea haya daah kweli kwa hayo mkuu unayosema unamuenzi lucky dube?
Nimepitia Uzi wako juu ya lucky dube ukajinasibu kuwa ni mfuasi wake kindakindaki sasa iweje Leo ufarahie ubaya wa ccm kwa wananchi na wapinzani???
Nafikiri mngeonekana mko rational ktk kufikiri kama mngesema dereva na waliotoa kamera wote wanahusika kumdhuru lisu.Hii kumtoa dereva kwa mgongo wa kamera hakuna logic yyt.Haiwezekani uone unafuatiliwa we unazd kwenda tu,mnafika geti wako nyuma nanyi mnaenda tu.unakuja na story za kujificha chini ya gar.Ukigonga msumari kwenye bati sehemu ulipoingilia na unapotokea huwa na shape tofauti. Sehemu ulipoingilia panakuwa na shape ya kubonyea, na sehemu ulipotokea hupanda juu!
Je, yale matundu ya gari ya Lissu yakoje? Kama yametoka kuvutika nje probably risasi zitakuwa zilipigwa kutokea upande wa kulia wa dereva. Lakini Kama yalibonyea kuingia ndani probably yalipigwa kutokea nje upande alikuwa amekaa Lissu.
Matundu yale yanaonekana hayakupigwa kutokea kulia.
Je, ina maana dereva alishuka akaelekea upande wa Lissu na kumimina risasi? Vipi camera zilizoondolewa?
Paskali ( NJAA) amesahau kabisa jinsi meja general mstaafu serikali ilivyoshughulika,kama wanavyodai kwanini CCTV zilitolewaHata Mungu alijua kuwa Yesu atasulubiwa ili aliacha yatimie ili sisi tukombolewa.
Kupitia shambulio la Lissu,hata sisi tutakombolewa(sometimes Mungu huruhusu mambo fulani yatokee kwa malengo maaalumu).
Kumbuka wangekuwa na nia wasingeshindwa kwenda kuwahoji hospitalI ya Nairobi.
Jiulize tu angekuwa ni kigogo wa serikali alieshambuliwa kama huyo dereva wasingemfuata kumuhoji hata kama angekuwa ni Ulaya.