Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.

Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.

Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka, halafu what happened?!.
Baadhi ya maswali ni haya...
  1. Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
  2. The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
  3. Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
  4. Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
  5. Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
  6. Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
  7. Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
  8. Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
  9. Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
  10. Maswali yataendelea
Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.

Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa

Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.

Pole.
P.
Kilichomponya Lissu asife kwa risasi nyingi alizomiminiwa ndicho hicho kilichomfanya dereva asipatwe na risasi hata moja na asionekane mahali alipokuwaamejificha (uvunguni).
 
Siku hizi unajidhalilisha sana mkuu!
Sikufichi kakaangu umekuwa kama umefungwa motor

Ewe mtanzania mwenzangu jitahidi sana usije kudhubutu kutafuta chakula cha watoto wako kwa njia haramu namna hii!
Inaudhi, inakera na kukiacha kizazi chako na laana

Kwahiyo dereva wa Lisu anaweza kuwa na nguvu na ushawishi wa kuandaa mazingira ya namna ile hadi kuwaondoa walinzi wa serikali eneo lile?
CCTV camera pia akaziondoa na mwisho kabisa akaishawishi serikali na bunge kwa ujumla wasihusike na matibabu yake?

Nanukuu: "Wakati nalima nikikutana na nyoka namgonga kichwa. Akifa shauri yake na akipona shauri yake"

Hiyo ni kwenye ziara ya baba yetu kwenye mkoa fulani [emoji24] [emoji24]
Inaonesha hujamuelewa mleta mada au ni kwa vile kasema usichopenda kusikia
 
Mkuu hao wanatumiwa vibaya!! Huyo pasko toka aitwe bungeni akakutana na timu Fulani ikiongozwa na mkuchika na hayo ndo matokeo yake
So pasco anatakiwa awe sawa kimawazo na bavicha tu ndo aonekane anajitambua?Sijawahi ona aliyetofaut nanyi kimtazamo msimwite ajitambui mara anatafuta teuzi nk.Hoja za pasco zijibiwe kwa hoja sio kejeli.Acheni udikteta wa FIKRA.
 
Pascal, LISSU na DEREVA wangekufa kwenye lile tukio inamaana watu wetu wangeshindwa kabisa kufanya investigation?
Ni vyema wakaassume Dereva amekufa ila aliyelengwa kafa halafu wafanye investigation.
Ni upumbavu uchunguzi wa tukio husika kukosa majibu mpaka leo eti dereva hayupo, huu ni ujuhu.
 
Paskali paskali paskali, unataka kuniudhi.Nimekukosea nini paskali.
Hata Mimi kaniudhi sana,eti anauliza driver alipona vipi kwenye shaba 38,hajuhi kwamba hata SOBIBOR concentration camp,wapo Jews waliopona,ndege huwa zinaanguka na watu wanapona,Kenya kuna mtoto alipigwa risasi ya kichwa akapona,
 
So pasco anatakiwa awe sawa kimawazo na bavicha tu ndo aonekane anajitambua?Sijawahi ona aliyetofaut nanyi kimtazamo msimwite ajitambui mara anatafuta teuzi nk.Hoja za pasco zijibiwe kwa hoja sio kejeli.Acheni udikteta wa FIKRA.
Hoja gani hapo unaona yakujibiwa?? Afu Mimi siyo bavicha wala uvccm ujue hilo!!
Lete hoja utajibiwa lakini hizo za pasko hamna kitu!!
 
Hata Mungu alijua kuwa Yesu atasulubiwa ili aliacha yatimie ili sisi tukombolewa.

Kupitia shambulio la Lissu,hata sisi tutakombolewa(sometimes Mungu huruhusu mambo fulani yatokee kwa malengo maaalumu).

Kumbuka wangekuwa na nia wasingeshindwa kwenda kuwahoji hospitalI ya Nairobi.

Jiulize tu angekuwa ni kigogo wa serikali alieshambuliwa kama huyo dereva wasingemfuata kumuhoji hata kama angekuwa ni Ulaya.
Kingwangala,kapata ajari,mkuu fasta ameishafika,
Kwa Lisu,hata wabunge walipigwa biti wasiende kumuona,DP,alipokuwa ziarani Kenya,ilibidi aende tu,maana aibu wataificha wapi,
 
Ukweli ni kwamba rais magufuli, usalama wa taifa, police wanahusika kutaka kumuua Tundu lisu
Huu ni ukweli ambao watakaoukataa ni wao wenyewe tu
Vipi kuhusu dereva hayuko ktk hilo kundi?Maana kwa navyojua wauaji wakifika sehem tena kwa hiyo silaha ya kivita sio rahisi kwa risasi 38 dereva akabaki salama huku lisu akijeruhiwa na kuna sehem lisu anadai alikua anajitambua kabisa kias cha kutoa maelezo apelekwe hospital. Usifanye masihara na kitu kinaitwa silaha ya kivita.Huo mlio wake tu unatosha kukufanya upoteze faham,vipi risasi 38 zitue mwilini?Najua akili zenu zimefungwa ktk kitu mnachodai Mungu anampenda lisu
 
Pascal Mayalla
Ninaheshimu sana mawazo yako kuwa wanaohoji kuhusu dereva wa TL wana hoja lakini kwanini hujiulizi haya;
1. Ilikuwaje walinzi wote wasiwepo lindoni?
2. Ilikuwaje cctv ziondolewe?
3. Serikali/polisi waliahidi kwenda Nairobi kuwahoji, walishindwa nini?
4. Kwanini jalada lilifungwa mapema hata kabla TL na dereva hawajahojiwa?
 
Huna hoja ya msingi hoja zako mfu kabisa!!! Hivi kama dereva kahusika ilikuaje msaidie baada tu ya wasiojulikana kuondoka? Kama kahusika si angemmalizia tu pale pale??
Je zile CCTV camera kwann kalemani aling'oa??
Iliwezekana vipi dereva kupona tena kwa maelezo ya kipuuz eti akashuka akajificha chini ya gari.Yani wauaji walikua wanawasubiri tu?Ashuke dereva alaze kiti then ye akajifiche chini ya gari na waanze kumimina risasi 38 ovyoovyo na baada ya hapo wakimbie.Hivi kwanini hamtaki hata kujenga image ya tukio kuona ka inawezekana au lah?
 
Pascal - kama Dereva unamtilia shaka kwanini CCTV camera zilitolewa? Na kwanini zisiachwe ili kuisaidia Polisi katika upelelezi? Mkapa hakukosea kusema waandishi Makanjanja[emoji41]
 
Mkuu Paskally,
Swali lako kubwa lipo upande wa kwanini lissu na Dereva waliendesha gari kuelekea nyumbani waliohisi wanafuatiliwa?
Jibu lake limejikita nyumbani kwa Lissu. Lisu anaishi Area D penye ulinzi na maeneo ya viongozi wakubwa wa serikali na bunge, je hapo pia alitakiwa kua na wasiwasi ya kwenda? Iwapo hao waliokua wakimfuatilia wangejibizana getini na walinzi ndipo polisi kituo kikuu wangepewa taarifa kua tumevamiwa.

Aingii akilini uvamizi ufanyike eneo la viongozi wetu alafu serikali ikae kimya, pia najiuliza iwapo Lissu angevamiwa pale karibu na Geti ya Ikulu akiwa anatoka pale ofisi ndogo ya Bunge nao wangepiga kimya tu?
 
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
Shambulizi la Lissu, Wanaomdhania Dereva Anahusika, Sio Wajinga!, Wana Hoja za Msingi!. Jee Anahusika?.
Maswali haya ni kufuatia hoja za Lissu kwenye bandiko hili.
Mhe. Tundu Lissu,
Kwanza pole sana kwa yaliyokusibu.
Umezungumza mengi kuhusu kilichotokea mwaka mmoja uliopita, ila watu wanaohoji kuhusu dereva wako, nakuomba sana usiwaite wajinga, au wametumwa, kwa sababu mashaka yao ni very valid.

Kwa vile mashuhuda ni nyinyi wawili tuu, wewe na dereva wako, then kuna mambo tungependa kujua kutoka kwa Lissu mwemyewe na dereva wake.

Hoja kuwa tumetoka naye mbali hivyo tunaaminiana, hazina mashiko mbele ya watu na kazi zao. Lissu alipotoka na dereva wake, anaweza kujilinganisha Dr. Slaa na mlinzi wake Kagenzi walipotoka?, halafu what happened?!. Kwenye mambo ya assignment, anaweza hata akatumika mke wako aliyekuzalia wanao, sembuse itakuwa dereva tuu mliotoka nae mbali!.
Baadhi ya maswali ni haya...
  1. Baada kuona kuna gari linawafuatilia, mlichukua hatua gani?.
  2. The common sense ya kufuatiliwa inaelekeza, uki note you're followed, hatua ya kwanza ni kumpote anaye kufollow kwa makusudi, ili kwanza kujiridhisha kuwa anakufollow.
  3. Ukiisha jiridhisha you are followed, una change direction kumpoteza maboya.
  4. Ukimuona bado yupo, then kama uko fit, unamlengesha mahali kwenye kona ambapo hawezi kuchomoka, mnamalizana!.
  5. Kama hauko fit, unamlengesha kwenye safe area ,usually sehemu open kwenye makundi ya watu na kumripoti kunakohusika.
  6. Baada ya kuona mnafuatwa, kwa nini mliendelea kuelekea nyumbani?.
  7. Mlipofika mkasimama, mkawaona watu wawili wanashuka na AK 47, kitendo tuu cha kujua tuu bunduki zile ni AK 47, hii maana yake ni close proximity, kwenye shooting that close!, risasi 38!, dereva huyu amesalimikaje asipitiwe hata na moja?.
  8. Ametokaje kwenye gari na kujificha chini ya gari ya jirani bila kugundulika?!.
  9. Anafichwa nini kuhojiwa?, kuna nini kinafichwa?.
  10. Maswali yataendelea
Hitimisho.
The only defence ya Dereva wa Lissu has nothing to do na hiyo shooting, ni uzito tuu wa serikali kugoma kuita wachunguzi wa nje. Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.

Lakini kwa vile wasiojulikana ni hawa

Tusitegemee lolote jipya hapa.
Tundu Lissu, just get well soon, na sasa inakubidi uchangue kati ya uanaharakati na kuishi.

Pole.
P.
It doesn't have to sound systematic.
It is a system.
It's a GAME.
Well downplayed
Case closed!?
 
Huyu jamaa mwanzo nilimuona wa maana kumbe kichwani naye ni mweupe kama karatasi tu. Bora ungekaa kimya ili kuficha huu ujinga.
 
Back
Top Bottom