Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Hoja ya msingi.
 
Sema wewe utakombolewa sisi tukombelewe nini
 
Tukiweka mambo ya mungu pembeni (kuwa siku yake ya kufa haifika). Haiingii akili risasi zoote zile (30+) na mtu akabaki salama. So either waliotumwa ni armature au walitumwa kumtishia tu.

Na kama ni armature assassins, maswali yanakuwa meengi zaidi kuliko majibu. Maana waliwezaje kumfuatilia lisu kwa kipindi choote hicho na asichukue hatua yoyote ya kujilinda. unless yeye alikuwa hatambui hilo na sivo inavotamkwa kuwa walijua wanafuatiliwa tangu dar/moro.
------
 
Paskali mjanja mjanja anagata na kupuliza soma mistari ya kwenye hitimisho utamwelewa vizuri usikurupuke.
 
@Pascal Mayalla ni kweli hili swala ki undani ni mission iliyoundwa kitoto sana, risasi 38 dereva asipatwe hata na risasi moja? Inamaana alijua mapema ndiyo maana akalala uvunguni mwa gari ya pembeni kabla risasi hajijarushwa.
Pia katika press conference Mbowe alipoulizwa dereva yuko wapi akadai anatibiwa ki saikolojia baada ya kuathirika na tukio hilo, hapa sasa ni mwaka mzima hatujamuona inamaana hajapona?
Dereva alidai kuwa aliwaona washambuliaji na anawajua kwanini asireport kituoni akiwa na wanasheria wa chadema akatoa ushahidi ili wakamatwe? Sina uhakika kama dereva wa Lissu kama yuko hai mpaka leo . R.i.p. Chacha Wangwe.
 
Mkuu Pascal, usitumie vibaya imani uliyopewa na jamii bila gharama yoyote. Ukiipoteza hutoipata kamwe. Uaminifu ni tunu pekee ambayo hata maskini anaweza kuimiliki.

Ukimpenda au kujipendekeza kwa fulani, usiwe kama dodoki.
 
Tungeipata CCTV Mzee ingemaliza mzizi wa fitina huoni kama hapa kipo kitu kinafichwa he Mzee walikuwa wapi wale walinzi wa kila siku pale pia mashaka mengi sana yapo kwenye hili kuliko maswali yako
 
Pia Kwa nn umtishe mpaka unwambie achague kuishi na uanaharakati wakti kasema atakufa nao Kwa kauli hizi Mzee lipo ulijualo hakika
 
wabongo badilikeni huu ujinga wakutaka kusikia mnachokipenda mtaacha lini ? mnavagaa mtoa mada badara ya kujibu alichouliza
kuna kipindi watu waliuliza Lissu alisharipoti maswara ya kufatiliwa serikali haikuchukua hatua yoyote lakini chama cha mbowe kilijitete kwamba atua ya kwanza walimbadilishia Lissu dreva nakumpa dreva mwenye mafunzo ya hali ya juu sasa leo Lissu anasema dereva wake yuko nae tangu anamiaka 19 which is which
 
Unaelewa nini kuhusu "kuripoti", au lishe duni imekuathiri!
Kuripoti kwamba nikuitisha vyombo vya habari?Au huko shuleni mlifundishwa ukitishiwa uhai unakusanya watu na kuwaadithia?Au ulifundishwa ukitishiwa uhai unaenda kutoa taarifa sehem husika.Ni mwanasheria koko tu ambaye swala la uhai wake anafanya press conference wakati sheria husika na taratibu husika anazijua nini afanye.
 
W
Lisu is simply a clean slate call em tabula Rasa,anadai kutishiwa maisha for months na hana imani na police halafu anatembeare kaning
iniza pumbu Tu.
 
MAYALLA SIJUI MALAYA NAOMBA UPOKEE HIYO BAHASHA YA KAKI KISHA RUDI NYUMBANI, FUNUA LAPTOP, ANDIKA ARTICLE, ILA USITAJE NENO tundu lissu.

THREAD CLOSED.
 

Mizengo Pinda aliripoti wapi kuwa Sugu kamuita mpumbavu bungeni? Hadi afunguliwe kesi Mahakamani Dodoma?

Rais aliripoti wapi kwamba Sugu kamtukana hadi Sugu akamatwe, ahukumiwe hadi afungwe!

Au ile ibara inayosema "equality before the law" haiwahusu CCM na viongozi wake?
 
Pascal Leo umeandika kishabiki sana,you need to view hoja za lissu in an angle of analytic mind.
Kwanini police wasiende kimhoji huko?
Yani dereva kama anahusika,chadema wangem-protect vipi ilihali wao walikuwa wanataka vyombo huru vya uchunguzi ambavyo serikali ilikataa?
You think it would have been easy for chadema to fool FBI or Scotland Yard?
Pascal you've failed miserably on this and I'm so disappointed
 
Watu wakiitwa huko au kutekwa wakirudi wana kuwa kimyaaaa kwa muda na siku wakiibuka wanatoa mvuke sijui huwa wanafanyiwa vitendo gani hadi wanakosa ujasiri, wana kuwa waoga na wana kuwa na aibu sana. Kuna siku tutajua kinachojiri huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…