Kamanda pole sana nikwambia kila leo demokrasia mnayo ililia humu kila leo ndio hii anayotimiza pascal mvumilie sasa....kumuhusisha na shambulizi la Lisu ni kujifariji lakini ukweli ni kwamba huwa mnaongea na kuandika tuu wala demokrasia hamuijui? Hahahahaha demokrasia ni kukosa na kupokea....Uchawi kama huu wa Pascal hauwezi kuwa uhuru wa kutoa maoni , kuanzia muda huu naanza kumhusisha na shambulizi la Tundu Lissu , anazo sifa zote za kuhusika , Hakika damu ya Lissu itaumbua wengi sana .
Acha nikukubalie kuwa, Mbowe ni mkubwa kuliko idara zote za ulinzi na usalama! Untouchable na yeye ndiye sheria!Angekuwa hausiki angekwenda kuhojiwa, madawa aliyopewa Lissu kusinzia ili afanyiwe hayo, risasi zinapiga kushoto anaumia kulia, kiti cha lissu kinalazwa alale dereva hapati hata jeraha,
Camera zinatolewa kwa uchunguzi watu wanadhani ni serikali imezitoa kuficha ukweli,
Suala la Lissu Mbowe anahusika sana sema hamuelewi n.a. Lissu ni mjanja mno anawasiliana na Magufuli ili akipona ndo amwage cheche, mpaka sasa Mbowe hajatulia anatapa tapa kupoteza ushahid wote , lakin Sami ya Mtu ni nzito sana haimwagiki tu,
Leo hii waliopaswa kulipwa ujira wa kazi hiyo wananyongwa tu kupoteza ushahidi, kuna mengi watu wanajua ila wanaogopaga tu kutoa ushahidi,
Britannica
Tatizo la CHADEMA.mtu akiuliza swali wanalopenda wao hukuona kichwa, lakin wasilopenda eti unajidhalilisha hahaha this is CHADEMA bwanaPascal unajidhalilisha sana. Kwa nini serikali ikikatae wachunguzi wa nje.hapo si tungejua ukweli
HakiKaHoja ya jamaa juu ya dereva Ni ya kijimga mno watu wameuwawa na ndugu wa damu nini dereva?
AsitupotosheTangu ulipohojiwa na bunge umepoteza sifa ya kuwa mwandishi mchunguzi! Ugolo kama huu unakuabisha!!
Anachukiza Sana kujaribu kupotosha ukweli unaojulikanaMaswali ya hovyo kabisa!
Paskali umekua na fikra zisizoendana na historia yako, hovyo kabisa. Bado unajiuliza kuhisiano na hill hujui nn?
katika vitu unaangusha hii tasnia yetu ya habari nimoja yamabandiko yakulambana miguu kama hili
Paskali paskali paskali, unataka kuniudhi.Nimekukosea nini paskali.
Mayala=njaa
Baada ya Jerry murro kuula pasco ameona fursa na wakt sahihi Wa kutafuta cheo,huyu ni tumbo linatoa hoja sio akili,umeangusha tasnia ya habari
Tangu ulipohojiwa na bunge umepoteza sifa ya kuwa mwandishi mchunguzi! Ugolo kama huu unakuabisha!!
Tatizo lenu mmeandaa masikio yenu kusikia mile mbogo zenu zinaamini,mkisikia tofauti in ugonvi tena mkubwa.Maswali ya hovyo kabisa!
Paskali umekua na fikra zisizoendana na historia yako, hovyo kabisa. Bado unajiuliza kuhisiano na hill hujui nn?
Won't help you at all.Uchawi kama huu wa Pascal hauwezi kuwa uhuru wa kutoa maoni , kuanzia muda huu naanza kumhusisha na shambulizi la Tundu Lissu , anazo sifa zote za kuhusika , Hakika damu ya Lissu itaumbua wengi sana .
Hivi bavicha mnaweza nini?Mtu mwenye akili unasoma conclusion kujua mwandishi amelenga nini katika hoja yake.
Shule ni muhimu sana.
1. Mkuu una uhakika na hoja yako hii...!?Ingekuwa ni inside job ya Chadema, tungeshuhudia serikali fasta ingechunguza!.
Kwel alikuwa alihusikaUchawi kama huu wa Pascal hauwezi kuwa uhuru wa kutoa maoni , kuanzia muda huu naanza kumhusisha na shambulizi la Tundu Lissu , anazo sifa zote za kuhusika , Hakika damu ya Lissu itaumbua wengi sana .
Subiri 2020,,,yote yatajukikanaAcha nikukubalie kuwa, Mbowe ni mkubwa kuliko idara zote za ulinzi na usalama! Untouchable na yeye ndiye sheria!
Yaani kwa ujinga wako huu, mkulu atuhumiwe kuhusika ajkalie kimya huku akimwona mhusika akitembea na kula raha kitaa! Kweli kabisa serikali yote inamgwaya Mbowe! Utakuwa siyo wewe wa kombe la dunia wamehack account yako!