PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,629
Reaction score
3,015

​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===
 
Kama sio mchongo basi washirikishe makampuni binafsi kama ambavyo wamekuwa wakifanya miaka yote
 
Kuna watu wanasema No reforms No Elections

Na bado,maana huku madaktari wa mama Samia,huku Tuzo za mama Samia,huku Chanjo za mama Samia

Dadeki na bado......
 
Serikali ya Mama Samia kuzindua chanjo ya Mifugo Kitaifa​

==
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.
Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya
dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja
mbuzi na kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa
kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili
40,000,000.

My take: Chonde Chonde Mhe Rais katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni shirikisha pia Sekta binafsi kwaajili checks and balance otherwise utapigwa balaa niko hapa.
Nimwandae paka wangu, paka wa mama
 
Sasa Serikali itanunuaje Chanjo na hereni na kisha kuvisha na kuchanja yenyewe?

Third party ni muhimu sana kama wamefanya hivyo basi Kuna kaharufu kaujanja ujanja
Hapa Kuna maswali mengi kuliko majibu naomba mwenye huo mwongozo auweke hapa kabla hatujasema chochote
 
Kama sio mchongo basi washirikishe makampuni binafsi kama ambavyo wamekuwa wakifanya miaka yote
Wakishirikisha makampuni pesa wanakulaje hapo, Mimi nashauri kazi hii ni kubwa ifanywe Kwa pamoja na makampuni binafsi Ili kuongeza uwajibikaji wa pamoja
 
Sasa Serikali itanunuaje Chanjo na hereni na kisha kuvisha na kuchanja yenyewe?

Third party ni muhimu sana kama wamefanya hivyo basi Kuna kaharufu kaujanja ujanja
Yes wafanye mapitio Ile TZS 500 na 350 apewe kampuni binafsi Ili kuimarisha uwazi wa pamoja kati ya Serikali na Wananchi
 
Serikali ya Mama Samia kuzindua chanjo ya Mifugo Kitaifa​

==
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.
Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya
dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja
mbuzi na kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa
kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili
40,000,000.
IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).
Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.
IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===
My take:

Chonde Chonde Mhe Rais katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni shirikisha pia Sekta binafsi kwaajili checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100% niko hapa.
Hongera sana Mama Samia kura yangu Mimi kama mfugaji unayo
 
Sasa Serikali itanunuaje Chanjo na hereni na kisha kuvisha na kuchanja yenyewe?

Third party ni muhimu sana kama wamefanya hivyo basi Kuna kaharufu kaujanja ujanja
Hata hivyo, hicho ni kitu kidogo sana ambacho mfugaji mwenyewe anaweza kufanya kwa kutumia wataalamu wa vijiji. Chanjo kama hiyo ni regular annual routine! Labda nilulize, itachanjwa na serikali kila mwaka? Na kwa miaka mingapi?
 
Kuna watu wanasema No reforms No Elections

Na bado,maana huku madaktari wa mama Samia,huku Tuzo za mama Samia,huku Chanjo za mama Samia

Dadeki na bado......
Kunawatu wanajitolea kupamba hiyo kitu kwa sababu ni uchochoro wa kupiga, kuna watu wanadai now usipotajirika kipindi hiki utakua kilaza wa mwisho yaani mpenda haki.
 
Hata hivyo, hicho ni kitu kidogo sana ambacho mfugaji mwenyewe anaweza kufanya kwa kutumia wataalamu wa vijiji. Chanjo kama hiyo ni regular annual routine! Labda nilulize, itachanjwa na serikali kila mwaka? Na kwa miaka mingapi?
Ni mpango wa miaka Mitano, Soma vizur hiyo taarifa
 
Back
Top Bottom