PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
😀😀😀😀 Ngoja tujaribu na hii mbinu ili tuwateke Wafugaji wa Kisukuma (kanda ya ziwa) na Wamasai (ngorongoro ya UAE).

Mitano tena na tena
 
Heko Mama Samia
 
Itafanyikaje hii chanjo na hereni au ndo tunaandaliwa kila mfugo kutozwa kodi/tozo
Tujiandae kwa maumivu Tena hili zoezi la hereni ni kutusumbua na kutuibia wafugaji tu
 
Kuna watu wanasema No reforms No Elections

Na bado,maana huku madaktari wa mama Samia,huku Tuzo za mama Samia,huku Chanjo za mama Samia

Dadeki na bado......
Kalio la dada yako acha uchawa..
 
Sasa Serikali itanunuaje Chanjo na hereni na kisha kuvisha na kuchanja yenyewe?

Third party ni muhimu sana kama wamefanya hivyo basi Kuna kaharufu kaujanja ujanja
Lugha gongana hiyo
 
​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
#Mama Mitano tena
 
Kwa hiyo hao anaowa hadithia ndo wafugaji wenyewe?

Ni ajabu sana hapo hakuna hata mwenye kuku, na hata hizo hereni hawajawahi kuziona ndo wanasikia leo
 
Itafanyikaje hii chanjo na hereni au ndo tunaandaliwa kila mfugo kutozwa kodi/tozo
Uchawa wa komavy mavy tu.
Hereni inanisaidia mimi nini kama mfugani
 
Mimi siwezi kukubli hizo chanjo hata kwa mbwa wangu sitakubali. Uwezo wa kuchanja kwa hela zangu ninao na nia ninayo
 
​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Samia Mitano tena
 
Ila wabongo mnatia huruma mlio wengi katika uwezo wa kufikiri .
Wenzenu Kenya wamezikataa hizo baada ya kufikiri na kufanya uchambuzi na kupima nia na yaliyomo nyuma yake toka huko ilikotoka.
Nyie mnashangilia bila tashwishwi yoyote mną Ina ni hisani kweli ??!
Aiseee ??!
Interesting 🤔 🤔🤔
 
Back
Top Bottom