PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Hawana deni na Mama!!!
Tutakuwepo.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hizi chanjo zisije kuwa ni zile za Bill gates ambazo rais wa kenya alitaka kufosi wafugaji wa kenya kuchoma mifugo yao.

Eti chanjo za kuzuia ng'ombe kutoa kinyesi kinachochangia kuzalisha joto hewani.
 
Mama hana deni na Wafugaji
 
Hizi chanjo zisije kuwa ni zile za Bill gates ambazo rais wa kenya alitaka kufosi wafugaji wa kenya kuchoma mifugo yao.

Eti chanjo za kuzuia ng'ombe kutoa kinyesi kinachochangia kuzalisha joto hewani.
🤣
 
​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
kwa kazi hii nzuri nafikiri na tume huru ita undwa!!
 
Suala la kufikiri limeachwa kwa wachambuzi wa soka!.

Sijui tunaishi wapi. Hapo Kenya hii issue imezua mjadala mkubwa, akitajwa Bill Gates kuwa nyuma ya mpango huu wenye lengo la kuondoa mifugo ya asili duniani.

Ajabu leo watu waliokuwa wakipknga chanjo ya COViD ndio wako mstari wa mbele kujadili 500 ya kuchanjia na kuacha kuangalia kama hiyo chanjo ina usalam? Nani ameitoa? Kwanini sasa.

Je moja kati ya sababu ya umaskini wa masai na kupelekea kufanya kazi hadi za ususi ni hatua kama hizi. Serikali ikajenga malambo wakalazimishwa kuosha mifugo yao, zoezi likafanyika kwa miaka kadhaa, kinga ya asili ya mifugo ikaisha na serikali ikaacha kutoa dawa ya kuoshea mifugo. Wakalazimishwa kununua, kiasili hawa sio wafanyabishara ya mifugo hawakuwa na pesa, mifugo ikapukutika. Umaskini ukaingia kwa kasi. Leo wanazurura huku na huko wakipata pesa wananunua ng'ombe waliochoka wanakaa nao wakipata afya nzuri wanaswaga kupeleka kwao.

Enyi wagalatia ni nani aliyewaloga?
hatari sana
 
Sasa Serikali itanunuaje Chanjo na hereni na kisha kuvisha na kuchanja yenyewe?

Third party ni muhimu sana kama wamefanya hivyo basi Kuna kaharufu kaujanja ujanja
Ule ni mchongo wa kikundi Cha watu flani tu hivi
 
​

==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.

Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.

IMG-20250506-WA0030-1024x682.jpg

Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).

Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.

IMG-20250506-WA0033-1024x682.jpg

Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.

===

My take:

Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.

Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Hakika Mama Hana deni
 
Back
Top Bottom