super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Vichekesho vipyaMama hana deni na Watanzania wote

Anadeni gani?Vichekesho vipya
Umeziona bara bara za jimbo la kawe??Anadeni gani?
Bara baadhi ya maeneo kweli zinahitaji ukarabatiUmeziona bara bara za jimbo la kawe??
Na hapo ni Mjini ambako yeye mwenyewe ana nyumba kwenye hilo jimbo.
Bado hujaenda Morogoro-Malinyi
Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali,
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.
Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.
![]()
Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).
Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.
![]()
Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.
===
My take:
Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.
Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Mama anatisha sio mchezoDuh aiseee
Nani kala bingo za tenda ya hereni?

Ndio maana watu wanataka isifanye Serikali yenyewe kupisha ujanja ujanjaKulikuwa na zoezi la kuvisha hereni kitaifa lilizinduliwa mwaka juzi kwa mbwembwe zote lakini likaishia hewani wajanja waliishia kupiga pesa. Limeibuliwa tena hivi sasa
Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.
Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.
![]()
Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).
Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.
![]()
Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.
===
My take:
Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.
Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Mama apewe Mitano tena ama namna gani wadau?

Naunga mkono hiyo paragraph ya mwisho imemaliza kila kitu

Kuna unabii mmoja niliusikia mwishoni mwa mwaka jana (2024) kuhusu hizi chanjo za mifugo,tunatakiwa kuwa makini sana kwani zitaleta athari kubwa sana kwenye mifumo ya gens za binadamu.

Siwalimalizwa na mwenda zake?Nikikumbuka mwenda zake alinasa majizi ya mali za umma wakwepa kodi papa mavyeti feki kibao ila eti leo hakuna kuna machawa na viroboto nabaki kucheka sana ,game moja rahisi mno kusukuma kete zake.
Hizo hereni mbona zimefanywa na Sekta binafsi miaka yote
==
Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa.
Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ng’ombe 19,099,100.
Akizungumza Leo Jijini Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji wakati akitoa taarifa ya Mafanikio Wizaya hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita ambapo amesema Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja Mbuzi na Kondoo 17,224,200, na dozi 40,000,000 za Chanjo ya ugonjwa wa kideri/mdondo (ND), ndui na mafua ya kuku kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000.
![]()
Amesema Uchanjaji huu, utaiwezesha Tanzania kukidhi masharti ya biashara ya mifugo na mazao yake kulingana na matakwa ya Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH),Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO), na Shirika la Biashara Duniani (WTO).
Vilevile amesema, Serikali imenunua jumla ya hereni za kidijitali 36,323,300 kwa ajili ya utambuzi wa ng’ombe 19,099,100, Mbuzi na Kondoo 17,224,200 watakaochanjwa.
![]()
Amesema Lengo kuu la utambuzi wa mifugo ni Kukidhi matakwa ya soko la kikanda na kimataifa linalohitaji kila mnyama na mazao yake kuwa na alama ya utambuzi, kuwezesha wafugaji kupata mikopo na bima, Kudhibiti wizi wa mifugo, kurahisisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya wanyama, na kuwezesha Serikali na wadau kuweka mipango ya kuhudumia mifugo kwa kuwa idadi yao inajulikana.
===
My take:
Mhe Rais, Chonde Chonde katika process ya Uchanjaji na uvishaji hereni tukuombe shirikisha pia Sekta binafsi kwa ajili ya checks and balance otherwise utapigwa na zoezi halitafanyika kwa 100%.
Mhe Rais, Kwanini hiyo TZS 500 na TZS 350 toka kwa mfugaji inayokwenda hazina isiende moja Kwa moja kwa mchanjaji na mvishaji wa hereni (PPP ) kwani Kuna haja gani kutumia mabilioni ya Serikali kufanya kazi ambayo Sekta binafsi anaweza akaifanya Kwa ubora zaidi tena bila ya kutumia hata senti moja ya Serikali.
Sawa wapeni kampuni binafsi wachanje itapendeza sanaHizi Chanjo tumenunua Kwa pesa yetu tatizo liko wapi?
Uvishaji ufanywe na kampuni binafsi naunga mkono hii