imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Akina Lucas mwashambwana wengineo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Lucas mwashambwana wengineo
Shehe anachotaka kutuambia ni kwamba kila kitu kilichojengwa na mwarabu au mkoloni, ni ruhusa kuja kuchukua vitu vyao, kwa mfano:Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa waarabu. “Hawa waarabu wamekuja kuchukua bandari yao waliyoijenga mwaka 1896 kinawauma nini?” Ameuliza.
Shehe ameenda mbali zaidi kusema kwamba kipindi cha serikali ya Magufuli watu walikuwa kimya kwa sababu mtu yeyote aliyejitokeza kusema aliuawa na pia kuna baadhi ya wanasiasa waliikimbia nchi kwa kuhofia kuuawa.
Nisimalize utamu, hebu msikilize shehe wewe mwenyewe kwenye klipu hapo chini.
View attachment 2948109
MAONI YANGU
Huyu shehe namkubali lakini kitendo chake cha kuchanganya suala la kisiasa na uislamu sio vizuri. Hata kuifananisha serikali ya Magufuli na hii ya Samia kisa tu Samia ni muislamu na Mafuguli ni mkristo, ni suala lisilopendeza hata kidogo. Yeye angejikita tu kwenye hoja ya msingi bila kuingiza udini.
Nawasilisha.
Naam, umeniita?Shehe anachotaka kutuambia ni kwamba kila kitu kilichojengwa na mwarabu au mkoloni, ni ruhusa kuja kuchukua vitu vyao, kwa mfano:
1. Kwa kuwa reli ilijengwa na wajerumani, basi waje waitumie bure au waje waing'oe waondoke nayo. Sasa hizi ni akili au matope?
2. Serikali ya Magufuli (mkiristo) ilikuwa inaua watu, kuwatia kwenye viroba na kuwatupa baharini lakini serikali ya Samia (muislamu) haiui watu. Hapa anatakiwa akamatwe atoe ushahidi hao watu waliuliwa wapi, na nani na kwa sababu gani. Vinginevyo, tuamini kwamba serikali ya muislamu onamlinda muislamu mwenzao.
3. Samia angehamishia serikali Didoma, wakristo wangekiwasha. Hawakiwashi tu kwa k7wa uhamishaji ulifanywa na Magufuli (mkiristo mwenzao). Anataka kutuaminisha kupwa kuhamishiwa kwa serikali Dodoma ni jambo haramu na kwamba jambo hili lilipaswa kufanywa na Rais muislamu. Sasa hizo ni akili au matope? Hivi huko madrasa hawa mashehe walienda kusomea elimu au ujinga? Cc FaizaFoxy
Umejuaje?Mhaya huyu🤣🤣
Jina lake na ongea yake ,anachekesha sana huyu shekhe ...Halafu namkubali sana anajua kuchambua hadithiUmejuaje?
Hadith za mitume na mafundisho yake ,anapenda sana kuchambua hadithi.Hadithi gani tena mkuu? Za Alfulelaulela au zipi?
Nimeshtuka! Nilidhani wanawasingizia kusema ni watu wa majini kumbe ni kweli!Anadai kama kuna mtu hataki kusikiliza anayosema aondoke yeye atabaki na majini hapo msikitini. Eti yamekuja kusikiliza mawaidha.
Tatizo ni wewe, kwani kadanganya?Tatizo ni huyo shehe wenu. Hebu msikilize kwa makini
Irudishwe wapi wewe? Mbona unaongea kijinga?Kwa hiyo hata wewe unakubali kwamba bandari irudishwe kwa waarabu kwa kuwa waliijenga wao mwaka 1896?