Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

Usitumie nguvu nyingi kumuelewesha yule aliechagua kuwa mtumwa na punguani
 
Acha kutetea magaidi
 
[emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
Pumbavu wewe kwani magufuli ndo aliyewafunga hao mashekh ubwabwa wako!!?? Punguza chuki zakijinga utapelekewa moto mjini hapa.
 
Hii kesi hii,ni kama mtego kwa mama samia,
Sasa tuambiwe walikuwa na kosa?au uzanzibar na uislam wa Raisi aliyepo umechangia hawa kuachiwa?
Tusipokuwa makini tunaweka "mfano mbaya,huko mbele tutapata tabu sana.
Kama hakuna ushahidi wa kuwafunga wewe ulitegemea nini kifanyike?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu wewe kwani magufuli ndo aliyewafunga hao mashekh ubwabwa wako!!?? Punguza chuki zakijinga utapelekewa moto mjini hapa.
Punguza mihemko mkuu,
Kwa umeelewa Nini nilivoandika "amshughulikie".

Nimekusamehe bure,
Una uelewa mdogo Sana wa mambo
 
Kumbe walifika mbali sana kiasi cha kutishia jeshi/dola ?

Sasa kama jeshi lilikuwa linatishiwa kiasi hicho je usalama wa raia na nchi ulikuwa shakani kiasi kama siyo kikubwa sana jamani?! [emoji24][emoji24]
 
Mke wa 1,2,3...
Sheikh atawakuta kweli???
Bora alivoamua aende kwao kwanza...
 
MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.

Mungu ibariki Tanzania
Boya, jiwe hakuwafunga hao masheikh, ujinga ujinga tu
 
Hiv haya mauaji umethibitisha kuwa wao ndio wahusika?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…