Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
Acha ujuaji wa kijinga.
Kwani kuowa na kusoma kuna mahusiano gani? Ina maana mpaka wanahitaji kuoa basi kusoma wamesha maliza kusoma.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
We jamaa ni hovyo kuliko hata ohovyo wenyewe,
 
Mahari ktk uislam anapanga mwanamke,sasa kama watu wameshindwa mpaka kununua msaafu,hiyo kula yao itafananaje huko ndani???

Ndoa ni jambo jema,ila isiwe chanzo cha mateso.
Ni kweli anapanga mwanamke ila kumbuka hawajapewa option moja ya kuchagua msaafu pekee ambao utasimama kama mali

Kiasi wewe uone ni simple.

Lakini pia kunakuwaga na shinikizo kutoka lwa baadhi ya wazazi kumlazimisha mwanaye achague pendekezo fulani la mali.

Hususani kwenye familia zetu hizi za kiswazi, maisha duni sana, msaafu pekee hauwezi kujitosheleza nao watahitaji chochote kitu
 
Acha ujuaji wa kijinga.
Kwani kuowa na kusoma kuna mahusiano gani? Ina maana mpaka wanahitaji kuoa basi kusoma wamesha maliza kusoma.
Kama mnabaka vitoto madrasa na kuoa vitot vya miaka 6 unategemea nini?
 
Ningeshangaa Kama wangesema wanajenga shule au hospital. Ni ngono tu
 
Kama mnabaka vitoto madrasa na kuoa vitot vya miaka 6 unategemea nini?
Bila shaka utakuwa chakula cha wanaume wa kiislam, sasa unajiitaje mwanaume alafu usiwaze chini?
Ukiona ww ni mwanaume alafu hauwazi chini basi jua jicho lako linawaziwa na wanaume wenzako.
 
Jambo zuri. Lakini, maisha baada ya ndoa inakuaje? Maana vijana wengi dhooful hali mifukoni hakukuchi ni saa 8 usiku.
 
Hawa jamaa wanpenda sana mbususu..
Kwa hiyo na wale wanaochangiwa kufanya sherehe za arusi zao, nao wanapenda sana mbususu!!?? Maana kutwa nzima vikao vya harusi vya kuchangisha michango haviishi!!!
 
Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
Na je akilipiwa ada na Kijana akashindwa kusoma,nalo hilo unalizungumziaje bro Kitali!!?? Au unazani kila Mtu anaelipiwa ada anapenda kusoma!!??
 
Ni kweli anapanga mwanamke ila kumbuka hawajapewa option moja ya kuchagua msaafu pekee ambao utasimama kama mali

Kiasi wewe uone ni simple.

Lakini pia kunakuwaga na shinikizo kutoka lwa baadhi ya wazazi kumlazimisha mwanaye achague pendekezo fulani la mali.

Hususani kwenye familia zetu hizi za kiswazi, maisha duni sana, msaafu pekee hauwezi kujitosheleza nao watahitaji chochote kitu
Kumbuka kuolewa siyo kutajirika, usikariri sana Maisha ya kifisadi mahari hadi M200 muda mwingine!!!
 
Kiwango cha.mahari maximum shilingi ngapu ambazo atayokuwa tayati kulipia?
 
Acha ujuaji wa kijinga.
Kwani kuowa na kusoma kuna mahusiano gani? Ina maana mpaka wanahitaji kuoa basi kusoma wamesha maliza kusoma.
Mwanaume unalipiwa mahar sasa nani muoaji hapo. Mlipa mahari au mwanaume. Bora angelipa kimya kimya kutangaza kabisa mkeo atakuja kukudharau sana.
 
Na je akilipiwa ada na Kijana akashindwa kusoma,nalo hilo unalizungumziaje bro Kitali!!?? Au unazani kila Mtu anaelipiwa ada anapenda kusoma!!??
Ckatai ila kwa hawa wanawake wa leo utangaze hadharan mumeo nilimlipia mahari heshima itakuwepo tena home mzee baba. Kwanini hawa kulipia halafu wakakaa kimya.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu. Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Bila ya baba ako na mama ako kuwaza ngono we ungezaliwa?

Pumbavu.
 
Back
Top Bottom