Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tofauti ya unafki na ndoa zenye maagano ya mpaka kifo kiwatenganishe ni ndogo sanaTofauti ya ukahaba na ndoa zenye talaka ni ndogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya unafki na ndoa zenye maagano ya mpaka kifo kiwatenganishe ni ndogo sanaTofauti ya ukahaba na ndoa zenye talaka ni ndogo sana.
Acha ujuaji wa kijinga.Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
We jamaa ni hovyo kuliko hata ohovyo wenyewe,Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?
Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Sawa naona unalipiwaWe jamaa ni hovyo kuliko hata ohovyo wenyewe,
Ni kweli anapanga mwanamke ila kumbuka hawajapewa option moja ya kuchagua msaafu pekee ambao utasimama kama maliMahari ktk uislam anapanga mwanamke,sasa kama watu wameshindwa mpaka kununua msaafu,hiyo kula yao itafananaje huko ndani???
Ndoa ni jambo jema,ila isiwe chanzo cha mateso.
Kama mnabaka vitoto madrasa na kuoa vitot vya miaka 6 unategemea nini?Acha ujuaji wa kijinga.
Kwani kuowa na kusoma kuna mahusiano gani? Ina maana mpaka wanahitaji kuoa basi kusoma wamesha maliza kusoma.
Nyie mbona mmelipiwa na baba zenu?
Bila shaka utakuwa chakula cha wanaume wa kiislam, sasa unajiitaje mwanaume alafu usiwaze chini?Kama mnabaka vitoto madrasa na kuoa vitot vya miaka 6 unategemea nini?
Nadhani hii imelenga wale ambao wana shughuli ila suala la mahari na kufunga ndoa ilikua mchakato. Nadhani!Hiyo ni Mahari , vipi kuhusu maisha yao ya kila siku ?
Kwa hiyo na wale wanaochangiwa kufanya sherehe za arusi zao, nao wanapenda sana mbususu!!?? Maana kutwa nzima vikao vya harusi vya kuchangisha michango haviishi!!!Hawa jamaa wanpenda sana mbususu..
Na je akilipiwa ada na Kijana akashindwa kusoma,nalo hilo unalizungumziaje bro Kitali!!?? Au unazani kila Mtu anaelipiwa ada anapenda kusoma!!??Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
Kumbuka kuolewa siyo kutajirika, usikariri sana Maisha ya kifisadi mahari hadi M200 muda mwingine!!!Ni kweli anapanga mwanamke ila kumbuka hawajapewa option moja ya kuchagua msaafu pekee ambao utasimama kama mali
Kiasi wewe uone ni simple.
Lakini pia kunakuwaga na shinikizo kutoka lwa baadhi ya wazazi kumlazimisha mwanaye achague pendekezo fulani la mali.
Hususani kwenye familia zetu hizi za kiswazi, maisha duni sana, msaafu pekee hauwezi kujitosheleza nao watahitaji chochote kitu
Mwanaume unalipiwaje mahari babu. Ukimkuta mtu aliyesaidia mahar yuko nae unaweza kuongea chochoteTumia ubongo japo mzee
Mwanaume unalipiwa mahar sasa nani muoaji hapo. Mlipa mahari au mwanaume. Bora angelipa kimya kimya kutangaza kabisa mkeo atakuja kukudharau sana.Acha ujuaji wa kijinga.
Kwani kuowa na kusoma kuna mahusiano gani? Ina maana mpaka wanahitaji kuoa basi kusoma wamesha maliza kusoma.
Ckatai ila kwa hawa wanawake wa leo utangaze hadharan mumeo nilimlipia mahari heshima itakuwepo tena home mzee baba. Kwanini hawa kulipia halafu wakakaa kimya.Na je akilipiwa ada na Kijana akashindwa kusoma,nalo hilo unalizungumziaje bro Kitali!!?? Au unazani kila Mtu anaelipiwa ada anapenda kusoma!!??
Bila ya baba ako na mama ako kuwaza ngono we ungezaliwa?Yaani hii dini inawaza ngono tu. Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?
Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?