Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

sio hoja ya msingi. dini X tunaambiwa nchi hii nido wenye alimu , lkn siku zote tunalalamika maisha magumu na rushwa imeenea na utekaji. swala hio elimu ya dini X imesaidia nini?
Dini yoyote haina kosa....

Wanadini ndio wenye mapungufu....

Usiwe mjinga
 
Siku zote mtu anayelishwa huona wanaohangaika ni wajinga tu🀣 na hili ndio tatizo namba moja nchini wala sio CCM.

Tuna tabia ya kuridhika mapema sana alimradi tunakula na kushiba tu huwa hatujali kwamba kuna wenzetu wanakosa hata huo mlo.
 
Swadaktaaaaa😍

. ... uchunguzi kwanza....


. ...ukasuku sio......
 
Bakwata ilianzishwa na kina nyerere kwa maslahi ya ccm , maana walikua wanajua waislam wasipopata chombo wa kuwadhibiti na kwafananya brainwashed pasingekalika kwa misimamo yao, waislam wanaoiamini bakwata wanazidi kupungua kila siku watu wanarudi kwenye misingi sahihi ya uislam.
 
Tafsiri na application yake katika maisha inakosemana.
 
sio hoja ya msingi. dini X tunaambiwa nchi hii nido wenye alimu , lkn siku zote tunalalamika maisha magumu na rushwa imeenea na utekaji. swala hio elimu ya dini X imesaidia nini?
Hujajibu swali sheikh.
 
Daktari wa kienyeji? Maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji.
Hata wewe unaweza kuwa mganga ila hujijui tu....

Elimu ya TIBA inakosekanaje kwa mwanazuoni wa dini yoyote iwayo.?!!

Elimu ya TIBA haijaanzishwa na wazungu wala waarabu wala wayahudi.....
 
Vipi hajakemea Mauaji ya ndugu yake katika imani Mohammed Kibao?
Amekemea kwa kusema tutangulize haki ,amani na utulivu......

Wiki iliyopita baraza la ulamaa la BAKWATA wametoa TAMKO kupinga DHULMA ,UNYANYASAJI NA MAUAJI.....
 
Aa kwanini huyo Kiongozi wenu anawakataza , mkiwashe !!
 
Aa kwanini huyo Kiongozi wenu anawakataza , mkiwashe !!
Tukiwashe nini ?!!

Mufti anatufundisha adabu ya uislam "tarbiyya tunnufusi tul islaamiyya"MALEZI BORA YA KIISLAM huusianisha :
-Matumizi bora ya akili kwenda hekimani pale ambapo unapoambiwa hoja yoyote.
-Adabu na heshima kwa wakubwa.
-Huruma kwa wadogo
-Amani na utulivu kwa ARDHI
-Amani na utulivu kwa miti na mimea
-Amani na utulivu kwa wanyama na wadudu.


Ashaikhul Kiraam na mwanafalsafa wa kishadhili anaitwa Ahmad Ibn Zarruq(rahimahullahu alayhi) wa huko Fez Morocco ana kitabu kinaitwa QAWAID TASSAWWUF anasema maneno haya.....
"NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE"..

Think thrice.....

The core issue is WISDOM.....WISDOM....WISDOM.....WISDOM.......WISDOM.....

Masheikh wangu wa BAKWATA wanatufundisha "WISDOM".....

#Maulid Nabbiy 😍
#Allahumma swali aalaa habibina Muhammad SAW😍😍
 
Mkuu, hilo ni kweli?
1. BAKWATA ilianzishwa na Serikali isiyo na dini?
2. Inagharamiwa kwa fedha za Waislamu au za Serikali?
3. BAKWATA ipo kwa maslahi ya Waislamu au Serikali?
4. Waislamu wana Imani na BAKWATA?
 
Acha porojo..

Muhhanmad angetumia hekima mngekua hapo leo,

Thats why akaingia vitani kupigania hakki.. "Jihadd"

Waislamu wa afrika tu ni waoga, unafikiri ingekua misimamo kama ya Iran, Saudi, Palestine , mzee ali kibao angeachwa kizembe hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…