Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Aaaah!!!

Mambo mengine unaweza kuchanganyikiwa tu aseee!!!!

Sasa kama maneno hayo yanayosema mwanamke hastahili kuwa kiongozi yapo kwenye kuran, iweje sasa kiongozi ni mwanamke na ni mwislam vile vile na huwa anaenda misikitini na pia anakutana na mashehe wakuu kabisa katika dini.

Iweje watu wakila mchana kipindi cha mfungo mtukufu wacharazwa sababu ni kinyume na sharia za kuran lakini iwe sawa kwa mwanamke wa kiislam kuwa top leader na asikatazwe?

Na viongozi wa dini kila siku wanachekelea, tena wengine humtetea kabisaa hamuoni kama wafanya dhambi? Au dhambi ni kwa watu wa hali ya chini tu?

Mie naona ndugu zangu waislam woooote mliopo nchini, dua zenu hazipokelewi na hata funga zenu hazina maana kwa sababu mnaruhusu mambo yaliyokatazwa na kuran.

DINI, SIASA, MPIRA: Haya mambo ukiyafuatisha yatakupeleka SENGEMNENGE sana na pia yatakuchelewesha sana.
 
View attachment 3356219
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameonya wazi kwamba, ni vigumu mno kwa mwanamke kuwa mkuu wa Nchi na mambo yakaenda.
Nimetoka kumwambia mtu juzi kwamba
Mwanamke ni kiumbe asiyejiamini katika jambo lolote lile
Kwa hiyo hawezi kuwa Mbeba maono maono yake pia hayaamini
Hana msimamo
Kwa hiyo hii nchi anayefanya maamuzi sisi hatumjui
Siyo yule aliyekaa pale juu
 
Ni laana Tanganyika haiwezi kuongozwa na mwanamke
 
Wana Double standard.
 
Hili alilisema kabla ya kupewa buyu la asili katika tawi la CCM la BAKWATA.

Sasa hivi anaimba mapambio kama yote.
 
Mbona mnachanganyikiwa hovyo ?

Clip ya stone age nnaleta Leo ?
Neno la MUNGU lililopo kwenye Quran na Biblia ni sahihi na hudumu milelele yote

Inaweza kuwa kweli kuwa hiyo clip ni ya zamani na watu waliichukulia poa ila sasa ukweli wake unadhihirika 100%

Hata Yesu mwenyewe hakuwa na Mwanamke katikati ya wale Mitume 12
 
Na ndio maana wanachagua wa kuwapa uongozi wa BAKWATA ambalo ni tawi la CCM.

Ingekuwa Sheikh Ponda ndio Mufti lazima angehoji uongozi wa mwanamke. Lakini Al Duktur Zuberi yeye akiwaza V8 na nyumba ya Masaki basi anasifisia mpaka kukufuru. Anatunga mpaka aya za uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…