Sheikh: Mwanamke hapaswi kuwa na uongozi wa juu kabisa

Hata wakristo wanaamini hivyo hivyo. Nimewasikia wachungaji wakinukuu Biblia ingawa mimi siamini
 
Utekaji mauaji manyanyaso uonevu ni ilani ya ibirisi wa ccm
 
Hahaha Wata mletea Dr.Mwaka amvuruge nayeye au huyu yeye hasuluhishi ndoa?
 
Kwahiyo ameongopa?

Je mwanamke anaweza kuwa mufti?
Kama sio kwann asiwe.
Naomba nijifunze kwako.
 
Sheikh akichanganya dini na siasa anafungiwa yeye,msikiti au uislamu?

NB:Hata kama ni ya zamani lazima atafuatwafuatwa tu na atajitetea,iliyomuondoa Ndugai pia ilikuwa na mwaka.
 
Huko aliko.huyu sheikh atakana Kila kitu na kusema siyo yeye ni watu wamedit , na ataitisha press kukunusha na kusifia sana utawala wa mama , trust me huyu amejipiga bao nyingi sana usiku na tatizo la tumbo la kuhara limempata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…