TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Umekula chakula
 
Kilicho niumiza sana ni kitendo cha huyo Shehe mlozi kuwashirikisha watoto wadogo kati mambo ya urozi:
Hao watoto watakuwa na maadili gani ?
Alishundwaje kusoma hiyo Albadiri peke yake au na warazi wenzake ?
Hii imenima sana
Si ndio wanafundishwa ili baadae wazitumie ,wawe wazoefu

Waislamu Wana fitna,chuki na husda acha kabisa

Ushakuta vita ya muhab na Salaf ,hapa nazungumzia huyu ni sunni kwa sunni ila Itikadi tofauti ,

Wanauana na kurogana kabisa
 
Ndiyo umalizie Kwa kulia mkuu 😭😭
 
Si ndio wanafundishwa ili baadae wazitumie ,wawe wazoefu

Waislamu Wana fitna,chuki na husda acha kabisa

Ushakuta vita ya muhab na Salaf ,hapa nazungumzia huyu ni sunni kwa sunni ila Itikadi tofauti ,

Wanauana na kurogana kabisa
aise Hii hoja unaionaje mkuu?

Mungu wa kweli anafanya jambo gani kuokoa hao watoto wadogo wanaoingizwa kingi?
 
Unawaonea waislamu tu mbona hata waganga wakristu wapo wanaua watu kichawi? Tens hakuna waganga wabaya kama wakristu. Kuna mmoja yupo Mahenge huko, wanawake wa mjini Daslam na Unguja wanamtumia sana kupora waume za watu. Mganga mwenyewe ni wale waganga ambao wanaua kabisa jina lako likipelekwa kwake kama leo kesho unazikwa. Na mkristu kabisa tena mkatoliki ila amekata watu wengi sana. Anachinja sana watu kwenye ajali, watu wanakufa hiace nzima kwa ajili mlengwa mmoja tu.. So hayo mambo hata waktistu wanafanya sana tena wao ndio wabaya zaidi kwa sababu wanatumia majni wa kiafrika ( mizimu)
 
Kwanini uombee mlokole Dua awe kichaa wakati hapo walipo tayari ni machizi?
Watu wako msibani badala ya kuwapa pole na kuwafariji, unaleta mzaha?! Mfukuze moyoni mwako huyo chizi shetani anayetaka kukupoteza
 
aise Hii hoja unaionaje mkuu?

Mungu wa kweli anafanya jambo gani kuokoa hao watoto wadogo wanaoingizwa kingi?
Kuhusu Chuki na Husda naona Jamii zote wanazo hizo tabia, si waislam pekee.

Hapo wa kuwaokoa hao watoto ni Binadamu na siyo Mungu.
Picha linaanza wanaambiwa yote wanayofundish1a ni maagizo ya Mungu.
Sasa hapo kazi ipo mpaka uwaambie wakuelewe.
 
Reactions: Lax
Mwanamke hahitaji dawa kumpata mume wa mtu mkuu 🤣🤣
Hata hizo inshu za mtu Yuko mahenge asababushe ajali Kazuraminba ni stori tu hakuna ukweli
 
Muwamba ngoma... 🤣
“Je nikuelezeni biashara itakayowaokoa na adhabu kali?”
Kisha akasema: “Muaminini Allah na Mtume wake, na mnapiganie dini ya Allah kwa mali zenu na nafsi zenu…”
(Surat As-Saff: 10-11)
 
Kuhusu Chuki na Husda naona Jamii zote wanazo hizo tabia, si waislam pekee.

Hapo wa kuwaokoa hao watoto ni Binadamu na siyo Mungu.
Picha linaanza wanaambiwa yote wanayofundish1a ni maagizo ya Mungu.
Sasa hapo kazi ipo mpaka uwaambie wakuelewe.
SAwa mkuu 🤣
 
“Je nikuelezeni biashara itakayowaokoa na adhabu kali?”
Kisha akasema: “Muaminini Allah na Mtume wake, na mnapiganie dini ya Allah kwa mali zenu na nafsi zenu…”
(Surat As-Saff: 10-11)
Malizia kwanza Mwamba Ngoma ....huvutia kwake.... 🤣🤣
 
Watu wako msibani badala ya kuwapa pole na kuwafariji, unaleta mzaha?! Mfukuze moyoni mwako huyo chizi shetani anayetaka kukupoteza
Nimeshawapa pole na kuwafariji wahusika kwa meseji ya kawaida ila nimechangia mada baada ya kuona unaleta stori za abunuwasi
 
Si ndio wanafundishwa ili baadae wazitumie ,wawe wazoefu

Waislamu Wana fitna,chuki na husda acha kabisa

Ushakuta vita ya muhab na Salaf ,hapa nazungumzia huyu ni sunni kwa sunni ila Itikadi tofauti ,

Wanauana na kurogana kabisa
Hata huko makanisani,wanauana kwa maslahi,wapo wanaouana kwa mapanga hapa Tanzania mpaka Kenya,wengine wanaziko huko huko makanisani na wote ni dhehebu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…