Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Nimesema nakuelimisha wewe. Huyo Mohammed Said ametokea wapi? Naona unajaribu sana kumvuta ili aje akutetee.
Nilijua toka mwanzo kuwa napoteza muda wangu maana hauelimiki. Sina haja ya kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu ambae hata kusoma hajui. Nimekwambia neno chifu linatokana na "chief" la kiingereza na kuwa watawala wa kiasili walikuwa na majina yao yanayotokana na kabila lake. Majina kama Mangi, Mtemi n.k. Kwa sababu hawakuitwa machifu haina maana kuwa hawakuwa watawala kamili katika makabila yao. Hili hulioni. Wewe unashikilia tuu kuwa masultani wako ndio waliotufundisha mambo ya utawala. Pathetic. Unanipotezea muda. Kwaheri ya kuonana Faiza.

Amandla...
 
Mimi unielimishe nini wewe? Unanletea habari za "machifu" wakati wa Sultan?


Huko ni kutaka kunifundisha ujinga ulionao. Hunipati kihivyo.

Kama huelewi walikuwa wanaitwa nani wakati wa Sultan, niulize kiheshima na adabu nikupe ilm.
 
Kikao kilifanyika cha viongozi wa dini zote, serikali waziri mwenye dhamana na wanasheria walio itwa na Mshehe kuwatafsilia mkataba na IGA. Siwezi kumtambua na kumsikiliza kiongozi wa dini ataeongea baada ya kile kikao. Wote walipewa nafasi ya kutoa maoni siku ile na pale pale.
 
Allah akuhifadhi Sheikh Mohamed
 
Yaani pamoja na usomi wake na kazi alizofanya bado ana inferiority complex !sasa sijui imani wenzake ambao wengi hajaenda shule sijui inakuaje.
 
Huyu naye ameonyesha wazi kwamba anamtetea muislamu mwenzake, yaani ameleta hoja ya kidini kuliko kuuangalia mkataba wa DpWorld ulivyo na mapungufu mengi.
 
Sheikh tufafanulie yafuatayo kama yako sawa: IBARA 4 (2) ya mkataba huu inasema, endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi, je, Nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? kwako Sheikh iko sawa? Fafanua ukomo wa mkataba miaka mingapi? Maliasili Zina Sheria zake, kwa Nini mkataba ulisainiwa mwaka jana kimya kimya Hadi mzalendo mwema alipouvujisha? Unawezaje kusaini maliasili za nchi bila wenye nchi kujulishwa.
 
Huyu muislam mwenzetu hapa amekengeuka tena vibaya sana! Hili suala halina hata chembe ya udini.
 
TAKBIIR
 
Mimi unielimishe nini wewe? Unanletea habari za "machifu" wakati wa Sultan?


Huko ni kutaka kunifundisha ujinga ulionao. Hunipati kihivyo.

Kama huelewi walikuwa wanaitwa nani wakati wa Sultan, niulize kiheshima na adabu nikupe ilm.
Wewe huitaji kuelimishwa,kwa unavyodhania umefikia level kubwa sana kielimu kiasi kwamba huwezi kujifunza kwa watu wengine what an arrogance!Tukikufuatilia sana ww na kipenzi chako sheikh Mohammed mmefundishwa na kuelimishwa na Makafiri.Ambao kama wangeamua ku boast kama nyie kwa academic excellency pangechimbika.
Kuwa na akiba ya maneno kuna watu wana elimu na uelewa mpana wa elimu kuanzia historia na fani nyinginezo nyingi ila wameamua kukaa kimya.
NB:One thousand muslim clerics in Tanzania =One Jesuit parish priest
 
Huyu muislam mwenzetu hapa amekengeuka tena vibaya sana! Hili suala halina hata chembe ya udini.
Ni Kanisa ndiyo mnufaika wa kupitisha mambo yao bure pale Bandarini.Sasa hofu ni kubwa sana kwao kwa kuwa waarabu hawatakuwa nachembe ya kuruhusu utapeli huo.
 
Ni Kanisa ndiyo mnufaika wa kupitisha mambo yao bure pale Bandarini.Sasa hofu ni kubwa sana kwao kwa kuwa waarabu hawatakuwa nachembe ya kuruhusu utapeli huo.

Vitu gani hivyo tunahitaji uthibitisho ili tuvijue au unazani kanisa katoliki ni kama vigango vyenu. Mtaletewa sana tende na nyama mvaa makubazi akipewa bandari lakini kamwe hatokaa kuwapa njia za kushika uchumi.
 
Nanta...
Mimi kabla ya shule nimepelekwq chuoni kusoma Qur'an.

Walimu wangu alikuwa Maalim Mussa, Maalim Badi na Maalim Juma.

Kisha ndiyo nikaanza darasa la kwanza Lutheran Primary School Moshi mwalimu wangu alikuwa Mwalimu Paul.

Nilipoanza shule baada ya shule niliendelea kusoma Qur'an Msikiti wa Ijumaa Moshi Mtaa wa Chini.

Si kuwa nilisomeshwa St. Joseph's peke yake.

Elimu kubwa nimeipata kwa Sheikh Haruna ambae kanisomesha ilm nyingi pamoja na hii ilm ya kufanya mjadala.

Nilitaka uelewe hili.
 
Wewe Mzee ni Udini ndio unakusumbua
Pumbafu kabisa
 
Nashangaa sana na Udini unaozungumziwa hapa. Si shwari ukiona hivi, kuna mifukuto.
 
Mbona kaegemea kwa wakristo tu.
Wale wachungaji waliopewa Dola kadhaa na kuutetea huu mkataba wa hovyo mbona hawasemi.
Namshukuru kwa kutukumbusha kwamba Ni wazanzibari wawili walio saini mkataba mbovu wa kuhujumu bandari zote za Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…