Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

Kwani yeye anasemaje kuhusu mkataba wa DP WORLD, anaukubali kama ulivyo au warekebishe vipengele tata. Maana na yeye anaonekana kuongea kwa jaziba kama hao anaowatuhum.,
Inaonekana yeye hana neno na miradi ya kiuchumi.Kilichomkera ni mradi wa kiuchumi kugeuzwa ajenda ya kidini.Akaona na yeye kama mwananchi na mwenye akili na maoni basi asiwaachie viongozi wa kanisa pekee watoe yaliyojificha mioyoni mwao kwa mradi huu.
 
Ndugu yangu Fundi Mchundo, ukiwa unaogelea mtoni, akatokea kichaa moja akakomba nguo zako zote na kutimka nazo tafadhali usikurupuke na kuanza kumkimbiza! Ni hayo tu!

Huyo Mohamed Said, tumetoka naye mbali. Santuri yake ya udini kwa sasa imechuja, matango yake pori ya udini yamechacha au kwa kifupi simulizi zake hazina ladha tena. Ni hilo tu!
 
Mag3,
Si kweli usemayo.

Ningekuwa sigusi fikra zako ungenipuuza na huo ndiyo ungekuwa mwisho wetu mie na wewe.

Ukiniona unanisoma.
Tunaendelea kujadili.
 

Mzee MS. Mzee wa spinning, hahaaa!

Usipate tabu na MS, siku akisikia Wakristo na Waislamu wamechinjana atapata Faraja sana.

Unakumbuka alituletea habari ya Sivalon kuwa Baraza zima la mawaziri lina Wakatoliki! Na kuwa mfumo wa namba kwa Watahiniwa ulianzishwa na Kighoma Malima.

Huyu ni aina ya Watu wachonganishi ambao hutumia ukweli na uongo kuwagombanisha Ndugu na yeye kujifanya mwema sana.



Mzee MS tupe burdani kidogo ya picha zako Europe.
 

Huyu ni lukuvi, anachochea chuki dhidi ya waarabu/waislamu akiwa kanisani, huyu na wewe mna tofauti gani? Haikutosha Zanzibar revolution hao ndugu zako wasio na dini wameuwa waarabu/waislamu hivi unafikiri wamesahau hilo! And then mnaleta choko choko za kibaguzi na kidini! Hivi waislamu wote nchini tukiamua wote kuungana unadhani mtabaki!! Tunawastahi tu mjue! Hivyo acha ubaguzi
 
Ndugu hawa jamaa ikija hoja ya udini yuko tayari atunge uongo ili aonekane ana haki.
Mfuatilie huyu mzee uongo anaomwaga daliy humu.
Kutwa kucha kuongelea wapigania uhuru. Muulize kuhusu John Okelo atakuambia hamjui
Huyo john wako, atakipata anachostahili kwa MwenyeziMungu, kwa madhambi aliyoyafanya dhidi ya waarabu/waislamu huko Zanzibar revolution
 
Ubaguzi ni upi na wakiarabu ni upi?

Kama wewe ni Mwafrika achana na biashara za Kiarabu na kuwabagua waafrika wenzako .
Leo hii ikitokea ajali au janga lolote linalowahusu watanzania maskini weusi hakuna Mhindi Wala muarabu anayekusaidia wewe mmatumbi zaidi ya mmatumbi mwenzako . Miaka mingi watu wa Kigoma , Tabora , Lindi Mtwara hawakua na Barabara zinazopitika Kwa uhakika lakini Waarabu na Wazungu walikuwapo na wapo miaka yote . Wanaangalia kwao na maslahi yao. Rasilimali za Nchi yetu ni Kwa ajili za Vizazi vya waafrika na sio wageni ndio maana mwenyzezi Mungu alituwekea waafrika kama akina Karume na wakawatoa hao wageni waovu na mashetani.

Shetani hajawahi kuuza mtu lakini Wazungu na Waarabu waliuza watu . Tunasimuliwa habari za shetani kama tunavyosimuliwa habari za Waarabu na Wazungu . Likini shetani hajawahi KUONEKANA akimuuza binadamu kama walivyofanya hao watu waovu wa mashariki na magharibu .
Kwangu Mimi hao ndio mashetani wanaotajwa.
Tunawakaribisha mashetani .

Utajiri wao usiondoe utu wetu Sisi waafrika na nchi yetu.
Wanawachanganyia dini na siasa bila kuangalia matendo yao ndio maana mnawaona kuwa ni watu wazuri kumbe ni mashetani wakubwa.

Hakuna mwafrika anaweza kupewa ardhi yenye mafuta Dubai .
Wazungu wametumia mabavu kupata mafuta Huko lakini sio ridhaa yao.


Kule Sudani weusi walijidanganya kuwa wako sawa na Waarabu lakini walipojaribu kushika madaraka ndio wakagundua kuwa wao ni Daraja la watumwa.

Kama unabisa vunja muungano Utaona Jinsi dini isivyo na nafasi kwenye kutawala maana watu wa dini Moja watabaguaja katika kushika madaraka. Utaona kuwa umoja unaousema ni kwasababu Kuna watu wa dini nyingine.

Ni lazima Tuthamini kile Mungu alichotupa Sisi watu weusi.
Mungu ametupa Rasilimali nyingi zaidi yao. Kuonyesha kuwa alitupenda kuliko wao wanaotaka kutununua na kutufanya watumwa.
Watoto wa Mfalme ni sisi waafrika na wao wanapaswa kuja Kununua na kuondoka sio kutufanya watumwa.
Wabaki na mafuta yao mana tunanunua na hawatupi Bure na hatuwaombi mana tukiamia waafrika tutachimba ya kwetu.
Ni viongozi wa hovyo TU ndio wanawaona Waarabu kama malaika na kuona kuwa wao ni Bora kuliko Sisi.

KILA KITU MWANADAMU ANAFUNDISHWA MAANA ELIMU ILILETWA ILI KILA MTU AIPATE AITUMIE KUENDESHA MAISHA YAKE NA KUONDOKANA NA UTUMWA NA UNYANYASAJI.
WAAFRIKA TUNA WASOMI WENGI TUWATUMIE SIO KUBAGIANA KWA ITIKADO ZA KIDINI.

DINI NI ELIMU PIA TUIFUATE KAMA INAVYOTUTAKA KUTENDA SIO KUTUMIA DINI KUWANYONYA NA KUWAFANYA WENGINE WATUMWA
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu tu
Asante
 
Kuna jitihada zozote umezifanya kujenga EAMWS mpya kwa maendeleo ya waislam?Hivi sasa Rais ni muislam huoni kuwa sasa ni wakati muafaka wa kutibu madonda mliyosababishiwa na Nyerere kwa kuanzisha huduma za kijamii hata ikibidi kusaini MoU na serikali?Wahenga walisema yaliyopita si ndwele,kwenye yajayo mmejipangaje?
 

EAMWS ilikuwa ni jumuiya ya mashia. Viongozi wote wa juu na kati ni mashia ya kihindi na kiarabu chini ya patron dhalimu agakhan. Hio jumuiya ilishajifia miaka 40 iliyopita hivyo haina nafasi Kwa mazingira ya sasa.
 
Nanta....
Huko tutashapita toka mwaka wa 1968.

Waislam katika miaka hiyo hadi leo wamejifunza mengi na wameweza kujenga taasisi nyingi hapa nchini.

Kazi iliyokuwapo ni kuziimarisha taasisi hizi.
 
Nanta....
Huko tutashapita toka mwaka wa 1968.

Waislam katika miaka hiyo hadi leo wamejifunza mengi na wameweza kujenga taasisi nyingi hapa nchini.

Kazi iliyokuwapo ni kuziimarisha taasisi hizi.
Unakubaliana na mimi kwamba EAMWS haikuwa na maslahi kwa majority ya watanzania nchini?Na kama ilikuwa ya Mashia huoni Mwl alipata ushauri kwa waislam wazalendo kuivunja kwa sababu ilishughulika na watu wa race ambao si wazawa kwa asilimia kubwa?
 
Unakubaliana na mimi kwamba EAMWS haikuwa na maslahi kwa majority ya watanzania nchini?Na kama ilikuwa ya Mashia huoni Mwl alipata ushauri kwa waislam wazalendo kuivunja kwa sababu ilishughulika na watu wa race ambao si wazawa kwa asilimia kubwa?
Nanta...
EAMWS ilikuwa jumuiya ya Waislam wote bila kujali rangi.

Kuna watu wawili tu waliotafiti na kuandika historia ya EAMWS: Dr. Mayanja Kiwanuka (1973) na Mohamed Said (1989).

Dr. Kiwanuka ameandika kuwa Julius Nyerere alikuwa na haki ya kuivunja EAMWS.
Mohamed Said kampinga.

Unaweza kuipata thesis ya Dr. Kiwanuka Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Paper ya Mohamed Said link iko hapa: "Islam and Politics in Tanzania."

Sababu ya kuvunjwa EAMWS ni kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu mwaka wa 1968.
Kuna jamii hawakutaka kuona Waislam wanaelimika.

Mashirika yote ya Kikristo yanaendeshwa na Wazungu.
Hayakuvunjwa yapo mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…