Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
kama kuna ubishi nani avue ataye anza kufungwa ndiyo anavuaTimu moja lazima ivue shati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama kuna ubishi nani avue ataye anza kufungwa ndiyo anavuaTimu moja lazima ivue shati
Giza likianza kuingia basi rafu zinaruhusiwa!Sijui watoto wetu wamepumbazwa na ma-TV? Yaani wanacheza kwa kusuasua sana, wakati enzi zile tulikuwa tunatoka mtaa kwenda kushindana na mtaa mwingine au kijiji kimoja na kingine! Mkitoka suluhu zinapigwa ngumi angalau timu moja ionekane bingwa!!
Umenikumbusha mbali ndgSHERIA 15 ZA MPIRA ZA KIPINDI CHA UTOTONI
1. Mkubwa Hachezi Na Akicheza Mnaingia Wawili.
2.Mwenye Mpira Hatolewi Hata Akicheza Vibaya.
3.Inaruhusiwa Kubadili Kipa Kama Penati Imetokea Na Baada Ya Penati Anaruhusiwa Kurudi Wa Mwanzo.
4.Yule Mtaalam Wa Soka Hakosi Namba Hata Siku Moja.
5. Dogo Mnene Lazima Awe Golikipa.
6.Mwenye Mpira Ataamua Nani Asicheze.
7.Penati Itatokea Tu Pale Mchezaji Akiumia Sana Na Kutoka Damu.
8.Mechi Itaisha Kama Kila Mchezaji Atakuwa Amechoka.
9. Hakuna Free Kick,refa Wala Offside.
10. Ukichaguliwa Mwishoni Ujue Uwezo Wako Mdogo Kuliko Wote Uwanjani.
11.Mtaalam Wa Timu Akipewa Kazi Na Wazazi Wake Lazima Mumsaidie Ndo Mwende Kucheza.
12.Ukiumia Kidonda Kinawekwa Mchanga.
13.Kipa Anaruhusiwa Kudaka Popote.
14. Wale Ambao Wamekosa Namba Kazi Yao Ni Kufata Mipira Ikitoka.
15. Mwenye Mpira Akikasirika Mechi Ndo Inakuwa Imeisha
Eti wanaendesha vigali na kubeba midoliKuna moja ya Kipa na Ndani,haaahaaaa raha sana.Siku hizi watoto hawachezi kabisa
Mashati mnayovua ndo magoli mkuu, mpira wenyewe unachezwa barabaransisi tukitaka mpira uishe tunang'oa magoli
Mpira unachezwa barabarani upande mmoja nguzo ya umeme upande mwingine tunaweka mti au kama kuna mti pembeni tunafunga kamba kwa juuMashati mnayovua ndo magoli mkuu, mpira wenyewe unachezwa barabaran