Sio mbaya ukionhezea iwe ya kumi na sitaKwa hiyo mlikuwa na jeuri ya kunyima namba wenye Tv kwao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbaya ukionhezea iwe ya kumi na sitaKwa hiyo mlikuwa na jeuri ya kunyima namba wenye Tv kwao?
Viwanja viko wapi mkuu? Labda kwa vijijini tu lakni mjini watu wamejenga kila sehemuSijui watoto wetu wamepumbazwa na ma-TV? Yaani wanacheza kwa kusuasua sana, wakati enzi zile tulikuwa tunatoka mtaa kwenda kushindana na mtaa mwingine au kijiji kimoja na kingine! Mkitoka suluhu zinapigwa ngumi angalau timu moja ionekane bingwa!!
Hapo umenena kweli mkuu,, kwa iyo suluhisho watoto wameona wajikalie nyumbani tu kuangalia TV. Hii ni changamoto kwa serikali yetu, inatakiwa hili ilifanyie kazi ili watoto wapate muda wa kucheza.Viwanja viko wapi mkuu? Labda kwa vijijini tu lakni mjini watu wamejenga kila sehemu
Jamaa kaisahau hiyo yaani mkimnyima number na wewe kwao huendi tdna tv chongo na VHC mikanda ya ramboKwa hiyo mlikuwa na jeuri ya kunyima namba wenye Tv kwao?
Kuna nyumba mpira ukiingia hautoki.Sisi tulikuwaga na kiwanja basi hata huyo mwenye mpira tukigombana tu mpira hauchezeki
Jamaa kaisahau hiyo yaani mkimnyima number na wewe kwao huendi tdna tv chongo na VHC mikanda ya ramboKwa hiyo mlikuwa na jeuri ya kunyima namba wenye Tv kwao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa kina mzizi mkavu,Kuna nyumba mpira ukiingia hautoki.
Mimi namba 10[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi tulikuwa na sheria chache.
1.faulo pekee hata penati ni kushika
2.mpira ukitoka anaewahi ndio anarusha
3.hamna kona
4.hamna half time
5.giza ndio linaamua mpira uishe
6.mwenye mpira lazima acheze
7.mnyonge ndio kipa
8.hamna jezi,mwendo ni kuvaa au kuvua shati
9.hamna kucheza na viatu
10.anaejua yaani fundi lazima acheze mara nyingi huwa wanaringa sana
Na ndiyo maana wanaamua kuwa panya roadHapo umenena kweli mkuu,, kwa iyo suluhisho watoto wameona wajikalie nyumbani tu kuangalia TV. Hii ni changamoto kwa serikali yetu, inatakiwa hili ilifanyie kazi ili watoto wapate muda wa kucheza.
Watoto wa siku hzi wanashinda facebook kuomba namba za simuHahahaha zamani sana mkuu
Mnaingia mkiwa mko sawa
Atakayeanza kufungwa wanavua mashati wanabaki vifua wazi
Duh zamani tumefaidi mengi sana
Watoto wa siku hizi mdebwedo tu
Wanacheza mpira kwa play stiations, kwa Tv au smartphone.Watoto wa siku hzi wanashinda facebook kuomba namba za simu