Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

Kama ukizuiwa kucheza ukalazimisha na kukutoa ikashindikana utakuwa free akipigwa buti na timu zote mbili vyovyote vile hata kama ni teke( pengine inaitwa nyama yaani unaliwa na kila mtu)
 
Ile mambo ya ndiki ndikika then unataja jina la mchezaji unaemtaka, nimekumbuka mbali sana enzi zile tunacheza maeneo ya kule wanaita lyamang'ara kama sikosei.
 
Back
Top Bottom